Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mimi ni mwalimu unategemea nafundisha vipi kama mshahara sipati Kwa wakati afu wataka tufaulishe vipi watoto?

Mpaka saizi saa saba kasoro mshahara bado na watu tuna majukumu. Watoto Nina mke na wazazi wananitegemea kila mwezi mshahara unachelewa tu afu wataka tusikope Kwa mangi?

Kama ndo hivyo kazi hii kwangu itakuwa ngumu saana siwezi fundisha nikiwa na njaa
 
Mimi ni mwalimu unategemea nafundisha vipi kama mshahara sipati Kwa wakati afu wataka tufaulishe vipi watoto??

Kama ndoivo kazi hii kwangu itakuwa ngumu saana siwez fundisha nikiwa na njaa
mshahara upi mkuu
sisi tanesco mbona tayari
 
Mimi ni mwalimu unategemea nafundisha vipi kama mshahara sipati Kwa wakati afu wataka tufaulishe vipi watoto??

Mpaka saizi saa saba kasoro mshahara bado na watu tuna majukumu. Watoto Nina mke na wazazi wananitegemea kila mwezi mshahara unachelewa tu afu wataka tusikope Kwa mangi?

Kama ndoivo kazi hii kwangu itakuwa ngumu saana siwez fundisha nikiwa na njaa
Kwani mshahara si unalipwa mwisho wa mwezi?
 
Mimi ni mwalimu unategemea nafundisha vipi kama mshahara sipati Kwa wakati afu wataka tufaulishe vipi watoto?

Mpaka saizi saa saba kasoro mshahara bado na watu tuna majukumu. Watoto Nina mke na wazazi wananitegemea kila mwezi mshahara unachelewa tu afu wataka tusikope Kwa mangi?

Kama ndo hivyo kazi hii kwangu itakuwa ngumu saana siwezi fundisha nikiwa na njaa
Mwalimu asiejua kuandika anachanganya herufi kubwa na ndogo bila nukta.Mwalimu anaandika afu,ndo.
Kama wewe kweli ni mwalimu nawaonea huruma sana wanafunzi unaowafundisha.
 
Back
Top Bottom