Namna gani ya kutengeneza pesa kwa kijana asiye na ajira ya kuajiriwa

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,193
5,128
Habari wandugu,

Napenda wasilisha mada hii tajwa karibuni tujadili maaa naona maisha sasa ya kukosa pesa yanatukaba koo sisi vijana tunaosubiri ajira za utumishi maana hata inaafikia hatua tunakosa laki 2 ya kukodi hekari za shamba ili kulima
 
Aisee labda udereva, ukipata bajaji au bodaboda ya mkataba inaweza kusukuma maisha
 
Habari wandugu,

Napenda wasilisha mada hii tajwa karibuni tujadili maaa naona maisha sasa ya kukosa pesa yanatukaba koo sisi vijana tunaosubiri ajira za utumishi maana hata inaafikia hatua tunakosa laki 2 ya kukodi hekari za shamba ili kulima
Sokoni ilala au temeke au soko lolote kubwa nanasi kubwa ni 1000 ukichukua nanas zako 10 ukaja nazo kkooo kipande kidogo kimoja 200 kwenye nanasi moja hukos vipande 10 mpKa 15 hapo pia unaweza kutengeza juice ya nanasi ambayo pia watu wanaipenda kutokana na joto kali

Sijui kuandikq uqndish nilipata f lakin nahisi kidogo nimeleta idea nzur
 
Pitia kitabu the richest man in babylon haraf uje unishukuru
Hivi vitabu vimeandikwa kwa kufanyiwa utafiti katika mazingira wanayoishi hao waliondika haviwezi kuwa applicable katika mazingira tofauti especialy Afrika. Tuache kukalili izo theory za wazungu.
 
Back
Top Bottom