nyama

Nyoma is a village and headquarter of eponymous Subdivision and block in the Leh district of Ladakh in India. It is located in the Leh tehsil, on the bank of Indus River.
A small Buddhist monastery ("gompa") is located on the hill at the back of the village. Since 2010, foreign tourists with Inner Line Permits are permitted to visit Nyoma and its monastery.
Nyoma is also home to an Advanced Landing Ground of Indian Airforce, which was reactivated when an An-32 landed in this airfield on 18 September 2009.Nearby towns are Mahe and Rupshu, the town lies in the Leh - Loma - Hanle road. Nyoma is located 41 km southeast of Chumathang. It is 23 km (14 miles) from Mahe village and roughly the same distance from the Chinese border.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Hili la Manispaa ya Ilala kumiliki magari ya kubebea nyama na kusambaza mabuchani ni kuibana sekta binafsi

    Kama Serikali itataka kufanya shughuli zote hadi za kubeba nyama kutoka machinjio mpya ya Vingunguti na kusambaza mabuchani basi sekta binafsi inaweza kudhoofu sana. Nilimsikia Naibu Waziri wa mifugo mh Gekui akiipongeza Manispaa ya Ilala kwa ubunifu huo wa kusafirisha nyama. Ni vema Serikali...
  2. FRANCIS DA DON

    Video: Hii ndio mimea inayopendelea kula nyama kwa wingi zaidi

    Kupitia evolution, mimea hii ambayo inaishi kwenye ardhi isiyo na rotuba ya kutosha, ime-evolve mbinu za kujiongezea virutubishi kwa kula nyama za wadudu, video ina maelezo ya ziada.
  3. Bilionea Asigwa

    Wafugaji wa kuku wa nyama na mayai wasiosajiliwa kuchukuliwa hatua

    Wafugaji wa kuku wa nyama na mayai wametakiwa kujisajili kisheria ili waweze kutambulika na kufanya kazi ya ufugaji kwa ufuata sheria zilizowekwa. Imeelezwa kuwa wote ambao hawajasajiliwa lakini wanafanya kazi ya ufugaji kuku, hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa takwimu...
  4. TheDreamer Thebeliever

    Mchele haujapanda ila nyama sasa, ni balaa!

    Habari wadau! Hii nchi watu hawaishi vituko, wakati serikali ikisifia kwamba mwaka huu tunaingia katika sikukuu huku mfumuko wa bei ukiwa umeshuka. Lakini kuna vichwa maji wanaamua kuleta mifumuko yao katika bei ya nyama, ghafla imepanda kutoka elfu 6 mpaka elfu 10 kweli hii nchi watu hawaishi...
  5. L

    Bei ya nyama inaweza na Sato

    Kuelekea Msimu wa Krismass,bei ya nyama ya ngombe inapanda kwa kasi sana,kutoka 6000- 7000/-,sasa ni Sh 9000/- kwa Dar,kufika kesho itakuwa sh. 10,000/=.Hiyo pia ndiyo bei ya kilo ya sato.sema tatizo sato hatuwezi pikia pilau. wakati samaki wengine kam sangara na changu,kolekole wanakaribiana...
  6. K

    Nahitaji kukodi vifaa hivi kwa siku moja tu: Friza, Juisi dispensa na jiko la kuchomea nyama

    Habari wanajamvi. Nahitaji kukodi Friza, Juisi dispensa na jiko la kuchomea nyama kwa siku moja tu ya tarehe 12/12/2020. Nipo Dar na nitavihitaji kwa ajili ya shughuli Dar. Tafadhali mwenye navyo tuwasiliane DM. Shukrani
  7. OllaChuga Oc

    Biashara ya nyama choma

    Mimi kijana wa Kitanzania mwenye umri kamili wa miaka 26, mwenye Degree moja ya Procurement, ni mjasiriamali wa biashara ya chakula, Matunda na Forex ..lakini bado naitaji kuongeza kitega uchumi kimoja na nimeona ni deal na vitu hivyo vya kula kula maana mimi mwenyewe nakimbiza (nakula) japo...
  8. D

    Nina uzito wa kilo 79, Nimekula nyama kilo moja na robo na ugali kisha nikapima uzito bado ni uleule kilo 79: Kwanini?

    Hii imekaaje wataalam! Jana nilitengeneza kitoweo cha ugali na nyama kilo moja na robo! Kabla ya kuanza kula nilipima uzito wangu ikasomeka Nina Kilo 79! Nikaandaa nyama fresh na ka-ugali kadogodogo, kabla ya kula, nikasimama na sinia langu la chakula kwenye mzani kilo zikasoma 81, ( maanake...
  9. MAMESHO

    INAUZWA Mashine ya kutengeneza toothpick na vijiti vya kuchomea nyama zinauzwa

    Habari za leo. Mashine seti nzima ya kutengeneza vijiti vya meno (toothpick) na vya kuchomea nyama(skewers) inapatikana. Zimetumika kwa miezi michache. Zipo Bagamoyo karibu na shule ya Baobab. Ukinunua ukafunga wafanyakazi wako watapewa mafunzo kwa wiki moja. namna ya kuzitumia. Bei ni mil...
  10. K

    Dagaa nyama (uono) kutoka Tanga

    Kwa wale wateja wangu wa dagaa nyama toka Tanga, ninawakaribisha kuweka oda...bei imepanda kidogo....kwa jumla kg 7000, kwa rejareja 9000... Hawa ni dagaa kutoka Tanga, dagaa waliochemshwa ndipo wakakaushwa...ni watamu sana na hawana michanga hata kidogo, ni wasafi 100%. Dagaa hawa unaweza...
  11. malela.nc

    Kwa wafugaji, kama unafuga Kuku wa nyama (Broiler) na hauna soko la uhakika

    Habari wakuu, Ufugaji wa kuku wa nyama umekua mkonbozi sana kwa wafugaji wengi lakini tatizo linakuja kwenye soko la uhakika la kuwauza hao kuku, mwisho wa siku wanajikuta wakiingia hasara. Habari njema kwao, kama wewe ni mfugaji wa hawa kuku wa nyama (broiler) na unapatikana Dar es salaam...
  12. run CMD

    Msaada: Mchanganuo wa Biashara ya Nyama ya Mbuzi

    Hongereni kwa mapambano ya uchumi. Nimefikiria kuanzisha biashara tajwa hapo lakini sina uzoefu sana kama baadhi yenu humu.Kibnafsi location ya kupata mbuzi ipo nje kidogo ya mji na location ya kuweka goli langu bado nipo kwenye upembuzi yakinifu. Naomba maoni nyenu Manguli wa biashara hii...
  13. Second Lieutenant

    Biashara ya Kuuza Nyama (Butcher's Shop): Mambo Mbalimbali ya Kujifunza

    Habari za Mchana wana JF, Ndugu yenu hapa naomba info kuhusu biashara ya Nyama (Burchery), Bei wanazonunua Machinjioni inakuwa kiasi gani? wangapi wamefanikiwa through this business. WADAU WENGINE NAOHITAJI MUONGOZO WA BIASHARA HII MICHANGO NA MIONGOZO
Back
Top Bottom