Msaada: Mchanganuo wa Biashara ya Nyama ya Mbuzi

run CMD

JF-Expert Member
May 31, 2015
2,822
3,130
Hongereni kwa mapambano ya uchumi.

Nimefikiria kuanzisha biashara tajwa hapo lakini sina uzoefu sana kama baadhi yenu humu.Kibnafsi location ya kupata mbuzi ipo nje kidogo ya mji na location ya kuweka goli langu bado nipo kwenye upembuzi yakinifu.

Naomba maoni nyenu Manguli wa biashara hii.
->mchanganuo wake,
-> changamoto zake
-> faida zake
->hasara zake
->n.k.
Najua haziwezi kuwa zinafafana lakini naamini zinaweza kukaribiana kwa njia moja au nyingine

Shukrani za dhati kwenu wote.

mbuzi%2Bnyama.jpg
 
Cha muhimu ni wewe kutembelea sehemu zenye hiyo biashara walau update abc zake..kma ni ya kuchoma nenda kwenye bar zinazochoma mbuzi ujenge urafiki uulize...

Kama ni mbuz mbichi wafate wanaofanya hii ishu hutakosa kitu kwao...then humu utakuja jazilizia tu.

NB: usione ubahili ikibidi tumia hela ili upate hela...
 
Binafsi am consultant ukiachana na tech ninaijua livestock sector in and out.. with friends who owns ranch in Katavi lakini ulivyoleta nyodo kwenye post fulani..

Nitakushauri hapa utaniuliza wewe mbona hujufanya.. so I bet to shut my mouth

Goodluck with your research
 
Mkuu tupe abc kwa faida ya wanajukwaa wote
 
Binafsi am consultant ukiachana na tech ninaijua livestock sector in and out.. with friends who owns ranch in Katavi lakini ulivyoleta nyodo kwenye post fulani..

Nitakushauri hapa utaniuliza wewe mbona hujufanya.. so I bet to shut my mouth

Goodluck with your research
Mtukufu, kwa niaba yake tunaomba utusamehe sote kwa kosa lake alilokutendea.

Pia naomba kwa niaba ya watanzania wote kukuomba msamaha kwa sisi kuchagua CCM kila uchaguzi.... Tusamehe sana.
 
Umemaliza chuo juzi acha mbwembwe
Binafsi am consultant ukiachana na tech ninaijua livestock sector in and out.. with friends who owns ranch in Katavi lakini ulivyoleta nyodo kwenye post fulani..

Nitakushauri hapa utaniuliza wewe mbona hujufanya.. so I bet to shut my mouth

Goodluck with your research
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom