niliyojifunza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TAI DUME

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    UTANGULIZI Wakuu habari. Naandika hii story yangu ikiwa ni mwaka sasa nipo mtaani nikiendelea na harakati za kusaka ajira mpya toka mkataba wangu wa ajira ulipoisha mnamo Desemba 2022. Nimeamua kushea uzoefu wangu kwa mtindo wa Masimulizi (katika episodes) kwa kuamini pengine inaweza kuwa na...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Mambo niliyojifunza katika maisha yangu nikiwa nina miaka kati ya 20 mpaka 30

    MAMBO NILIYOJIFUNZA KATIKA MAISHA YANGU NIKIWA NINA MIAKA KATI YA 20 MPAKA 30 Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Nilianza kutafuta maarifa na hekima tangu nikiwa mdogo, mtoto wa miaka saba hivi. Katika umri huo wakati wengine wakicheza Kibabababa na kimamamama mimi nilikuwa katika kusoma vitabu...
  3. mitale na midimu

    Mafunzo ya maisha niliyojifunza katika vita vya Ukraine na Russia

    1: Uwe makini kuhakiki kila move ya maisha yako. Kuna watu wako tayari kukutumia hata kama ukifa ila wao mambo yao yaende. Ukraine anatumiwa na US/NATO. 2: Jifunze kuchukua hatua mapema kwa gharama ndogo kuliko kusubiri umechelewa na kupata hasara kubwa isiyolipika. Kumbuka 80/20 Rule. Russia...
  4. Sijali

    Nilicho jifunza kutoka Rwanda

    1. Tatizo kubwa la Tanzania ni uongozi mbaya. Huu ni uongozi usiojua nini muhimu kufanya kwanza na lipi liwe namba mbili. Baya zaidi wengine katika viongozi kwa kweli hawajui kabisa nini la kufanya. 2. Ili kuendelea lazima viongozi wengi katika serikali wawe na 'exposure' kuwa wameishi nje au...
  5. mdukuzi

    Tabia ya ajabu niliyojifunza kwa wanawake wa Mwanza

    Huu mji una mademu wazuri kiasi si sana Mademu wakali either wanaasili ya Musoma au Kagera ambayo ni mikoa jirani. Mademu wa Mwanza wako vizuri katika kugawa namba ya simu ila cha ajabu hawajui umuhimu wa simu, demu ukimuomba namba hakatai ila sasa ujue utapiga sana simu hutapokelewa. Mbinu...
  6. matunduizi

    Mambo niliyojifunza vita vya Urusi katika maisha ya kawaida

    1: Kabla sijaanzisha vita na mtu lazima nijue nani yuko nyuma yake. 2: Ukiwa huna nguvu sana jitahidi kushambulia mahala ambapo pataleta matokeo makubwa kwako na maumivu makubwa kwa adui kwa kutumia rasilimali chache. Ukraine wanapukutisha majenerali wa Kirusi. 3: Ukiamua kuingia vitani...
  7. Mangole Valles Michael

    The founder: Machache niliyojifunza

    Habarini wadau wa ukurasa huu. Nikiwa kati ya watu wenye shauku ya kuona vijana tunajikomboa kiuchumi, nimeona leo nije nishee kitu nilichojifunza. Binafsi nilikuwa na biashara home Mwanza ya huduma za kifedha, iliyumba hivyo nikaamua kuja Dar kuongeza wigo wa utafutaji, mambo hayakwenda...
Back
Top Bottom