masterpiece Kamundu
Utangulizi
Tanzania ina rasilimali nyingi na watu wenye uwezo, lakini bado tunakabiliwa na changamoto za kiuchumi, kijamii na kiutawala. Ili kuendelea, tunahitaji sera rahisi, uwajibikaji, ubunifu na viongozi wanaotanguliza maslahi ya nchi.
Kodi, biashara na ujenzi
Mfumo wa...
1. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato umefikia asilimia 89.02.
2. Ujenzi wa runway, taxiways na apron umefikia kati ya asilimia 98 na 99.
3. Jengo la Abiria limefikia asilimia 81 ya utekelezaji.
4. Mnara wa Kuongozea Ndege (Control Tower) umefikia asilimia 74 ya utekelezaji...
Je,
ni inashiria ya uchovu, kiwewe, hofu au ni hali ya kawaida kwa mwanadamu kisayansi?
Vipi siku ya mwisho ya final submission yake kizimbani, akisahau kuieleza mahakama jambo muhimu zaidi pengine la kumuokoa na kitanzi, na kisha akalikumbuka akiwa nje ya mahakama, labda akiwa anasubiria...
El Niño na maandalizi ya mvua kubwa
Nyumba: Kagua paa, mifereji ya maji na sehemu zinazovuja.
Mafuriko: Ondoa taka kwenye mitaro na epuka kujenga/kukaa kwenye maeneo yanayotuamisha maji.
Maji: Hifadhi maji safi ya matumizi endapo huduma itakatika.
Chakula: Kuwa na akiba ya vyakula...
Fikiria kijana anayemaliza shule, anapata kazi inayohitaji awe na driving licence, au mfanyabiashara anayehitaji dereva mwenye uwezo mzuri wa kuendesha gari.
Kitu cha kwanza anachotafuta ni Driving School yenye uaminifu, walimu wazuri, magari salama na inayoweza kumsaidia kujifunza kuendesha...
Huenda tatizo siyo bidhaa zako—bali kuna mambo muhimu unayoyapuuzia katika uendeshaji wa biashara yako.
Biashara ya spare parts ni biashara yenye fursa kubwa, kwa sababu pikipiki na magari huhitaji matengenezo na kubadilisha vipuri mara kwa mara. Lakini ili uweze kupata wateja wengi na kukuza...
Mkutano huu na waandishi wa habari ulifanyika mara baada ya viongozi wa TEC kukutana na kufanya mazungumzo na Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Lengo la Kukutana na Rais: Padre Dkt. Charles Kitima alibainisha kuwa mkutano huo ulitokana na ombi la maaskofu wenyewe...
1. Kwamba kulikuwa na Ndoa halali
2. Kwamba, kuna mgogoro kati yenu wanandoa na jitihada za kusuluhisha zimefanywa lakini imeshindikana.
3. Orodha ya watoto wa ndoa na umri wao.
4. Orodha ya mali zenu wanandoa mlizochuma pamoja wakati wa ndoa yenu.
Kgm Attorneys Chamber
☎️ 0755 395572 / 0761...
Biashara ya kukodisha ukumbi ni moja ya fursa zenye uwezo mkubwa wa kuleta faida endapo itaendeshwa kwa mipango sahihi. Mahitaji ya kumbi kwa ajili ya harusi, semina, mikutano, sherehe za kuzaliwa na matukio mbalimbali yanaendelea kuongezeka. Hata hivyo, mafanikio ya biashara hii yanategemea...
Kuna wimbi kubwa mno la vijana wanakimbilia kuendeshea bodaboda, kuna kundi kubwa zaidi linakuja naomba nishauri jambo Moja tu
Kila shule ya sekondari yaanzishwe masomo ya kivitendo ili kuwasaidia watoto wakimaliza form four na form six au hata chuo waendee kwenye fani husika.
Ujenzi(ujenzi...
Biashara ya huduma za miamala ya simu na huduma ndogo za kibenki ni miongoni mwa biashara zinazohitajika kila siku. Watu wanahitaji kutuma na kutoa pesa, kuweka fedha, kulipa bili, kununua vifurushi na kufanya malipo mbalimbali. Hata hivyo, mafanikio ya biashara hii yanahitaji maandalizi mazuri...
MAMBO MUHIMU KWAKO MWANAMKE; ELIMU +KAZI KISHA FAMILIA(MUME MWENYE AKILI ZA TIBELI)
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Baada ya afya bora. Kinachofuata kwenye maisha yako kwa umuhimu na lazima ukizingatie ni Elimu.
Lazima uwe na Elimu. Usikubali kuishi kama mbuzi. Kula kulala.
1. Tafuta...
. Epuka kufanya ngono hadi matibabu yakamilike na daktari athibitishe kuwa ni salama, ili kuzuia kuambukiza wengine au kuambukizwa tena.
Hii watu wengi hupuuzia lakini imekuwa ikifanya watu wengi kutokupona kabisa maana unapokuwa unatumia dawa hata wale bakteria walinzi wanakuwa wanazidiwa na...
Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Yafuatayo ni mambo nyeti ambayo tume ya uchunguzi wa mauaji ya MO29 imeyaepuka kwa sababu ambazo wanazijua wao wenyewe:
1. Chanzo cha machafuko
Tume haijataja chanzo cha tatizo ni nini kwa kuwa kinagusa mamlaka moja kwa moja...
Watu wengi tunafail ku accomplish ndoto zetu za kujenga au tunajenga na kushindwa kumaliza kwasababu tu ya kukosa plan nzuri ya gharama katika ujenzi
Stratergical way ya ku-win financial problem katika ujenzi ni kuwa na MATERIAL SCHEDULE ya jengo linalo jengwa,,, Material schedule ni document...
Kabla ya Ndoa, haya ni mambo muhimu sana mnayopaswa kuyazungumza ili kuepuka maumivu na kuvunjika moyo baadaye:
1. Fedha - Tutazisimamiaje? Pamoja au kila mmoja kivyake?
Nani ataweka akiba, nani atatumia, na tufanye nini mambo yakibana?
2. Watoto - Je, tunataka watoto?
Wangapi? Na ni maadili...
A. Hakutakuwa na updates za Usalama (Security updates) – Virusi vipya na mbinu mpya za mashambulizi zitaweza kupenya kwenye mfumo wa Windows 10, ingawa antivirus kama windows defender itaendelea kupokea updates, Windows 10 kama mfumo endeshi haitaendelea kupokea updates rasmi zinazoweka viraka...
Kwanini nimeandika Uzi huu?
Kuna Uzi mmoja nimeusoma humu na kuna jambo moja wiki iliyopita lilitokea.
Jamaa mmoja tulionana kujadili issue fulani ya kibiashara (dili). Jamaa anaona kama namtupa kwenye game akataka kujua kikwazo nini. Nilimweleza jambo la kawaida tu ila jamaa akawa serious...
1 . Mpe nafasi ya kucheat .as long atatumia protection n arudi kwa nyumba. Kwa maana ukishindana n mwanaume utachoka
2.Mheshimu.
3.mpe yote kitandani
4.usimufokee
5.usiwe mropokaji
6.mpikie chakula kitamu
7. Uwe msafi
8. Usiwahi shika simu yake.
9.heshimu wazazi wake.
10. Be a...
Kila siku mpya ni kama nafasi ya pili ya kuandika maisha yako upya. Lakini swali ni, unapoamka asubuhi, je, unaanza siku yako kwa namna inayoilinda afya yako au unaiacha ianze kwa mazoea ya bahati nasibu? Ukweli ni kwamba jinsi unavyotumia dakika zako za kwanza baada ya kuamka, huamua kasi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.