ndoa yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    Ndoa yangu ina hali tete

    Habari wakuu, Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu. Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno. Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa. MKE...
  2. Magical power

    Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa

    Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa. Kuna mwanaume niliwahi kuzaa naye kabla ya kuachana, na baadaye yeye akaoa mwanamke mwingine, ndipo mimi nikampata mume wangu wa sasa. Maisha yangu yanaendelea vizuri...
  3. Kiparamoto

    Tabia ya kukoroma inanivunjia ndoa yangu

    Wakuu, Kwa kuanza, mimi ni kijana wa makamu, umri 35+, mfupi, kibonge, mweusi tiiiiiiii! Nimeajiriwa kwenye NGO moja ya wazungu, alhamdulilah familia inaenda chooni. Nimebahatika kuwa na watoto wa3 kila mmoja na mama yake na nashukuru wanangu wanaishi vizuri lakini sikubahatika kuoa wazazi...
  4. Y

    Nusuru ndoa yangu

    Mimi ni muajiriwa katika sekta ya umma mke wangu sio mwajiriwa yaani ni mama wa nyumbani. Tuko kwenye ndoa ya kikristo kwa miaka 14 na tumejaaliwa watoto. Ili kupunguza ukali wa maisha na kuondoa utegemezi kwa mambo madogo madogo, niliamua kufungua kibanda cha duka na kumkabidhi mke wangu ili...
  5. Nyamwi255

    Hadithi ya Ndoa yangu

    Ilianza Send off, hii ilifana sana mpaka nikajiuliza kimoyo moyo harusi itakuwaje! Naam siku yenyewe ikafika haloo, sijui hata niseme vipi ila dah harusi yangu ilifana sana sana! Picha linaanza nilifanyiwa bonge Moja la surprise (Nakazia tuishi peace sana aisee) hizi surprise nilifanyiwa na...
  6. mjenziwakale

    MREJESHO: Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

    Wakuu , nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote walionitia moyo kwa kunishauri katika changamoto hii niliyopitia nawashukuru wale wote pia mlionipondea na kunilaumu. Kwa kweli niseme hili suala lilikuwa limepangwa na mungu litokee maana limetumika kama turning point katika maisha yangu...
  7. mjenziwakale

    Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

    Wakuu salama? Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa...
  8. I LOVE YOU DUCE

    Kwenye Ndoa yangu sitamsumbua mtu kwa michago na kadi

    Ta-toa mahali kama kawaida, baada ya hapo sita m-sumbua mtu Kwa michago na kadi. Siku ya ndoa, tamuomba mchungaji na familia ndoa ifanyike ufukweni, tena watu wakiwa wachache. Ndugu zangu watano, na ndugu upande wa binti wa tano tu. Baada ya happy tutapata chakula cha pamoja na pic za...
  9. T

    Rais Joe Biden: Ndoa yangu umejengwa kwenye ' Good Sex'

    Rais Biden wa Marekani anasema msingi wa ndoa yake ni mapenzi motomoto na mkewe, good sex. Biden anasema huwashauri wasaidizi wake wasiache kufanya mapenzi kadri wawezavyo. Biden ana miaka 81, kikongwe kabisa lakini bado anapeleka moto ajuza wake, cha ajabu unakuta kijana mdogo wa miaka 20-40...
  10. Bashiru Bwanali x

    Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

    Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa. Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kula...
  11. Mwachiluwi

    Hadithi Ndoa yangu inanitesa

    NDOA YANGU INANITESA Nilikuwa nikifanya kazi katika kampuni moja ya usafirishaji wa madini kutoka Tanzania kupeleka Bang kok nchini Thailand. Kampuni yetu ikiwa ya mtu binafsi na ilikuwa Mkoani Arusha. Mimi Sweedy Kachenje ndiye niliyekuwa idara ya usafirishaji, nikiwa afisa mauzo. Katika maisha...
  12. Mdigokhan

    Punyeto inavunja ndoa yangu

    Nianze kwa kujitambulisha Eeeh Mimi ni kijana wa miaka 28 Nina kil0 93 Naishi dar....Nina Visa vingi katika mahusian0 yangu ya MAPENZI,vingi nishawahi p0st humuhumu... Nip0 katika nd0a mwaka sasa Ila na0na nd0a yangu inaelekea kuangamia huku nai0na,Najaribu kuik0a ila Nahisi kushindwa...Kabla...
  13. Pdidy

    Msaada: Ndoa yangu imepata miba

    Jamani kama wewe unahisi una shidaa sikiliza redio za dini wapendwa utamkumbuka Mungu kila siku. kuna mdada ameomba ndoa yake ina shida saana sana akaulizwa why akasema mume ni dreva. Akapata bibi akawa akija anaacha chakula anaga siku inayofata. Akashangaa sana hio hali mfululizoo, baddae...
  14. sanalii

    Ndoa yangu imetengenezwa mbinguni, nafurahia sana

    Me and her we were made for eachother, we laugh at the same joke, she is gorgeous, smart and more importantly, ananiheshimu sana, mwaka wa sita huu lakini kama vile tumekutana jana. Usikatae ndoa, kataa wahuni wanaotaka ndoa. Na wish watoto wangu wa kiume wapate wake wenye sifa za mama yao, na...
  15. makaveli10

    Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

    Kwanza namshukuru Mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabisa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu. Ndugu zangu, Allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru Mungu mama na mtoto...
  16. Samahani

    SoC02 Ndoa yangu "Isininyanyase"

    Utangulizi Katika Sheria ya ndoa ya mwaka 1971, Sura ya 29; ndoa imetafsiriwa kuwa ni ‘muungano wa hiari’ kati ya mwanamke na mwanaume unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao yote. Kumbe, mojawapo kati ya mambo ambayo wanandoa wanapaswa kuyaweka vema katika fahamu zao ni kuwa, lengo la uwepo...
  17. Mzee nazi

    Nisaidieni kuokoa ndoa yangu jamani

    Ndugu zangu wanajamvi habarini. Mimi mwanenu na ndugu yenu nimekumbwa na tatizo, uume kusimama ka ulegevu na kuwahi kufika kileleni within a minute. Naomba msaada sana ndugu zangu
  18. K

    Tangu nimeoa naona nafaidika sana na ndoa yangu

    Habari JF Ni zaidi ya mwaka sasa tangu nilipoamua kuoa, ninayoyapata humu ndani ya ndoa ni tofauti kabisa na maneno ya wengi yaliyokuwa yakinitia hofu na kukatisha tamaa Tangu nimeoa napata faida zifuatazo: *Chakula napikiwa *Nguo nafuliwa *Kuoga naogeshwa *Mtoto kanizalia *Chakula...
  19. mahirtwahir

    Penzi la jini linaifanya ndoa yangu kuyumba

    Habari wakuu. Niko na mikasa mingi ambayo inanichanganya kichwa. Mnamo mwaka 2015 ilitokezea siku moja Mke wangu wakati wa mechi ghafla alibadilika alinipa shooo ya ajabu ambayo sikuipata toka nilipomuowa zowezi hili lilikua kama kwa muda wa week 1 mfululizo niliinjoi sana licha ya kua na...
  20. Equation x

    Nilivyo-date na jirani yangu bila kujua

    Miezi kazaa imepita, nilikuwa Dar es salaam kwa mishe mishe; mida ya saa nne usiku baada ya kupata chakula na kinywaji nikawa 'bored' na mazingira ya hotel, nikaona sitendei haki chumba kile kuwa peke yangu, ndipo nilipochukua 'laptop' yangu nakuingia mtandao fulani wa 'dating', na kuanza...
Back
Top Bottom