Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
28,105
80,946
Kwanza namshukuru Mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabisa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu.

Ndugu zangu, Allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru Mungu mama na mtoto wako salama.

Kuna ndugu zangu walinipa support (kunipa moyo) kwenye jambo hili (kusaka mke JF) si vibaya nikiwapa mrejesho, si rahisi kuwakumbuka wote.

AKILI IKO HOVAS!😂🤣

Thread 'Natafuta mke' Natafuta mke
 
Back
Top Bottom