Habari zenu wanajamvi.
Nina pikipiki yangu aina ya SANLG huwa naitumia tu katika mizunguko yangu ya hapa na pale ila sasa nina dharula nitakaa nje ya hapa home kama mwezi na wiki mbili hivi.
Najiulza nikiipaki ndani haiwezi kuharibika kwa sababu ya kutoendeshwa muda mrefu?
Naombeni elimu juu...
Habari za leo ndugu zangu,
Kabla ya yote naomba nitangulize shukrani zangu za dhati kwenu nyote ndugu zangu wana JamiiForums.
Nimeandika huu uzi kwenu kuomba mnijuze orodha ya NGOs za Social work (kazi za Jamii) zilizopo Dar es Salaam.
Naheshimu mchango wenu
Wakati tunaambiwa Sabaya anashikiliwa na TAKUKURU kwa mahojiano, binafsi ningependa kujua anashikiliwa katika mahabusu gani? Pili, napenda kuuliza kama sheria inaruhusu TAKUKURU kukamata watuhumiwa na pia kama sheria inawaruhusu kuwaweka ndani mahabusu.
Mwisho, hivi kuna vyombo vingine vya...
Wana JF
Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato, kambale, kambamiti (prawns), vibua, changu, kaa n.k.
Samaki ni chanzo cha lishe, kipato na ajira...
Wataalam naomba ushauri wa kitaalam.
Nimekutana na mwanamke ila hatukupima UKIMWI, tukafanya mapenzi bila kinga.
Baada ya wiki 5, siku kama 36 tukakutana tena na tukafanya mapenzi bila kinga lakini baada ya kufanya mapenzi tukapima ukimwi(naomba kukiri kua huu ni ujinga nilifanya). Baada ya...
Wajemeni eeh
Kuuliza si ujinga na kuuliza njia ndio kujua njia!
Nahitaji bastola, kwa self defence tu, si vinginevyo! Sababu; najiona vulnerable mno huko 'uswekeni' ninakoishi. Hamna umeme, na majirani wanahesabika, BTW, practicing targets zipo za kutosha huko!
Najua humu kuna wengi tu...
Habari wakuu,naomba kazi yoyote ile,
Kwa sasa nipo Dodoma ila naweza kuifuata popote pale ilipo ndani ya Tanzania
Jinsia ni Me
Iwe kusaidia kuhudumia mgahawani
Kukaanga chipsi
Kuchoma chapati
Kufanya usafi gesti au lodge
Kuwa houseboy
Natanguliza shukrani..
I'm Denis sSamwel Mwalumuli 24 age
I'm living in Tabata Barakuda, Dar es salaam
I'm looking for a job from two kinds writing above heading, marketing position or either insurance principal officer because I have graduate and very experiences in this two derpatment.
I'm ready to work any place...
Habari za saa hii wakuu
Jamani nilikuwa naomba ushauri wa nini cha kufanya, nimechagua programme tano za kusoma bila kutarajia kwenye chuo kimoja ambacho ni MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE na kozi zenyewe ni
1.Clinical medicine
2.medical lab
3.dentristry
4.pharmacy
5.physiotherapy...
Sina mambo mengi naomba bwashee yoyote mwenye picha ya stendi kuu ya mabasi pale Moshi aitupie hapa.
Manispaa ya Moshi kwa muda mrefu imeongozwa na Chadema nataka kujiridhisha na ubunifu wao.
Hapa Iringa Chadema walijitahidi wakatujengea Stendi ya kisasa pale Igumbilo ila sijajua kule Mbeya kwa...
To design and install video recording studio
Installation of an acoustic wall to improve silence in the range of 60-70dB
Installation of ceiling panels to improve silence in the range of 60-70dB
Installation of LED lighting
Installation of air-conditioning system
Painting and decorations...
Salaam Wakuu!
Nimemvua mtu IST yenye CC1500, nimempelekea Fundi aiangalie kama kuna shida, kaniambia hakuna shida matatizo ya kawaida. Ila aliyeniuzia akaniambia haina shida labda tu Service.
Sasa Basi Wataalamu naombeni ushauri natakiwa nifanye Service ya Kipi na kipi lengo ni Kutaka...
Somo hapo lahusika, naomba nisaidiwe kupata kipande cha video hii kuanzia dakika ya 17:30 na kuendelea ina jambo muhimu kutoka kwa Hayati Mwl J K Nyerere
Video
Habari zenu wakuu?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba ushauri nisome Master's ipi kati ya hizo nilizozitaja? Na kama kuna chuo kizuri unakifahamu kwa masomo hayo usisite kunishauri, faida na hasara za kusoma kozi hizo pia ningependa kuzijua. Binafsi nafirikia kwenda UDOM...
Habarini wanajamvi wenzangu,
Vijana wenzangu, wadogo Zangu na wakubwa Zangu, ndugu jamaa na marafiki nimekuja jukwaani humu kuomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia kupata kazi/Connection yoyote halali popote ndani ya Tanzania hii ninaomba anisaidie baada ya kuumaliza shahada yangu ya...
Salaam!
Wadau kama Mada inavyojieleza, naomba Msaada kufuta Documents na Video zilizopo Recycle Bin Samsung Galaxy A12. Nimefuta vitu kibao kwenye Simu ila naona Vinahamia Recycle bin na bado naoma nakosa Nafasi kwenye Simu. Maana nilikuwa na Video zenye Ukubwa wa zaidi ya 20GB ila nimefuta...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kupata mwenyeji wa Tunduma, kuna taarifa nafuatilia ningependa kupata msaada wa majibu yake.
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.