M
Joined
Likes
923

Profile posts Latest activity Postings About

 • zema21
  ello, habari.... Nimeona through jukwaa la kilimo una experience nzuri ya ukulima.. naomba plz namba zako kuna vitu nahitaji uwe unanishauri.. namba zangu 0753323078.. naomba mniunge kwenye group la wasap
  M
  Salaam!nimekuwa inspired na coaching zako kuhusu kilimo cha miti.naomba niunganishe kwenye group lenu ninampango wa kuwekeza katika miti.email Yangu ni mukalabamu@yahoo.com.namba ya simu ni 0753556696
  A
  Mkuu malila, naomba unisaidie mawasiiano yako, nime elimika sana kupitia wewe kuhusu kilimo cha miti ya mbao na nguzo, email yangu ni medardaristides@yahoo.com; 0652223600. Natanguliza shukrani zangu kiongozi
  Ibrahim K. Chiki
  mkuu, habari yako. plz naomba mawasiliano yako ili nikucheki. nahitaji ushauri wa maswala ya kilimo in general. natanguliza shukrani.
  E
  Hello Malila, kuna post uliweka mwaka 2010 kuhusu mashamba Morogoro; Je mlifanikiwa katika hilo group kupata mashamba na je mpaka sasa bado yanapatikana?
  T
  habari kaka nimeona your views kwamb unameza msaidia breed nzur! we unabreed ya kuku na pia na0mba contact zko
  I
  hello malila,
  i was interested in tree planting farms.
  may i please get your contacts so i can call you.
  Fau2364
  Mkuu Malila,

  Naomba uniunganishe na huyu jamaa yako anayelima vintunguu Mvemelo, nimeona kwenye thread yako fulani hivi ulikuwa unamjibu jamaa fulani kuhusu ulimaji wa vitunguu,ndipo ukasema kama unataka umuunganishe na huyo jamaa aliyelima vitunguu Mvemelo na Ruahaa Iringa, kwani ninahitaji ABC zake in detail pls.

  Natanguliza shukrani zangu za awali.
  NEXTLEVEL
  Mheshimiwa je naweza nunua wapi ng'ombe wa maziwa? nimesoma nyuzi mbalimbali hapa lakini sijapa exactly wapi nitawapata.
  Fau2364
  Mkuu!!!

  Habari za leo kiongozi wangu!!

  Pls kama hutajali, naomba E-mail address yako na simu yako, ninayo mengi ya kuongea na wewe kiongozi wangu.

  Natanguliza shukrani zangu za awali.

  E-mail yangu: faustine6476@gmail.com; Tel: +447722913459

  Jina kamili naitwa Frank au faustine Constantine MUSHI.

  Aksante.
  Fau2364
  Mkuu Malila, habari za leo kiongozi !!

  Nimesoma habari nzuri kuhusu "Mji unaokua kwa kasi kibiashara - Ruaha MBUYUNI". Umenigusa sana mkuu kwani ninapenda ku-invest paleulisema mashamba ni ya kujipimia, ukihusisha Serikali ya kijiji .

  Hapo nyuma uliwa kuniunganisha na mwana- JF anayomashamba pale, of course ni Ally, na yeye anazo takribani karibu ha 200, na kwa kila eka anakodisha 100,000?= hapo ni shamba ambalo limeshatayarishwa, i.e. kungolewa visiki.

  Sasa mkuu kutokana na habari ulizotupatia kuwa mashamba ni ya kujipimia na wakati huo huo kwa yale yaiyo tayari ni laki moja, mkuuu naomba unifafanulie hapo kidogo kwni kweli nipo serious kuhusu hii issue ya kulima VITUNGUU pale mahala.

  Nashukuru sana kiongozi wangu.

  E-mail: faustine6476@gmail.com; au framushi@yahoo.com;
  D
  Mkuu jana niliandika kuhusu soko la asali na ulinishauri ni m PM Kasopa. Ku PM ndo nini na naweza mpata vipi huyu jamaa.
  T
  Mkuu Malila, heshima mbele. nina shamba maeneo ya Segela pale junction na nia yangu ni kupanda miembe ya muda mfupi. naomba ushauri wako aina ya miembe ya kupanda na mahali pa kuipata. nitakuwa available TZ mwezi wa tatu na nia ni kuwahi mvua za masika ili niipande.
  BUNGE
  Mkuu email yangu ni deo_jr98@yahoo.com
  Niruhusu kukupatia jina kamili ukishanitumia email nikapata ya kwako
  M
  Wewe jaribu kutupatia sisi kazi hiyo tukufanyie uone matokeo. Nakupigia kazi vizuri mwenyewe utashangaa. Tena kwa hela kidogo tu.
  TzPride
  Mkuu, naona mlikoanzia na bwana Think BIG. Naona mnashare interests za ujasiriamali....endelea kuniambukiza mkuu...kwa kunipa maarifa maana nami kama nimelogwa...uwekezaji wangu uko too minimal!

  ***********************************************************************
  hi Malila, nimekusoma sana kuhusu kilimo, na hasa miti na ufugaji wa samaki! Nimekuwa na shauku ya kufanya hivyo lakini nimekosa kwa kuanzia (shamba) na kuwa na uelewa wa kutosha kuhusu kilimo. Nimekuwa nikifualitia kwa makini maandishi yako, na nimejikuta nashindwa kujizuia zaidi ya kukutafuta ili ikiwezekana unishauri wapi nina weza pata shamba kubwa na kuanza na miti then niendelee na ufugaji wa samaki.

  EMail yangu ni gzitto@ymail.com, nitashukuru kama utanipatia namba yako ya simu, mimi ni mfanyakazi na ninaishi DSM. Namba yangu ni 0784 414 424

  Asante
  T
  hi Malila, nimekusoma sana kuhusu kilimo, na hasa miti na ufugaji wa samaki! Nimekuwa na shauku ya kufanya hivyo lakini nimekosa kwa kuanzia (shamba) na kuwa na uelewa wa kutosha kuhusu kilimo. Nimekuwa nikifualitia kwa makini maandishi yako, na nimejikuta nashindwa kujizuia zaidi ya kukutafuta ili ikiwezekana unishauri wapi nina weza pata shamba kubwa na kuanza na miti then niendelee na ufugaji wa samaki.

  EMail yangu ni gzitto@ymail.com, nitashukuru kama utanipatia namba yako ya simu, mimi ni mfanyakazi na ninaishi DSM. Namba yangu ni 0784 414 424

  Asante
  K
  hello malila naomba kujiunga na jamii farm my e-mail address is samuelerasto@yahoo.com. ubarikiwe sana bro.
  K
  Halo, kaka mi naitwa Sam lkn kwsbb ya akili nyingi naitwa kilaza. Nimekuwa nikifuatilia mada zako nimevutiwa sana. Je tutaonaana vp? mm npo DSM my phone namba is 0716911291. nimeanza kilimo cha muhogo chanika,tafadhali malila!
  Smarter
  Hello Malila,
  Nimesoma thread yako kuhusu ufugaji wa mbuzi. naomba unisaidie maarifa, naweza pata wapi mbegu hii? kwa sasa niko Arusha.tafadhani nitashukuru kwa msaada
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…