Naomba msaada wa nini cha kufanya kuhusu udahili wa masomo kozi za afya 2021/2022

Jun 7, 2020
40
10
Habari za saa hii wakuu

Jamani nilikuwa naomba ushauri wa nini cha kufanya, nimechagua programme tano za kusoma bila kutarajia kwenye chuo kimoja ambacho ni MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE na kozi zenyewe ni
1.Clinical medicine
2.medical lab
3.dentristry
4.pharmacy
5.physiotherapy

Lengo lilikuwa ni kuchagua kozi ya clinical medicine tuu kwa vyuo vitano tofauti ila kwa bahati mbaya nimechagua kozi hizo nikijua unaweza kuchagua koz zaidi ya moja kwa chuo kimoja huku nafasi ya kuchagua koz kwenye vyuo vitano ipo pale pale( kama ifanyikavyo under TCU) kumbe huku under NACTE ni tofauti,unaruhusiwa kuchagua koz tano tuu haijalishi kama chuo kimoja au laa

Namimi napenda kozi ya clinical tuu hata sijui nifanyajee maana ikitokea sijachaguliwa hiyo clinical hapo nitakuwa na wakati mgumu sana kimasomo.

Ushauri tafadhali mwenye kufahamu kama kuna njia yoyote ya kufanya hapo ili ni-undone hizo taarifa, nawasilisha tafadhali.
 
habari za saa hii wakuu
jamani nilikuwa naomba ushauri wa nini cha kufanya,nimechagua programme tano za kusoma bila kutarajia kwenye chuo kimoja ambacho ni MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE na kozi zenyewe ni
1.clinical medicine 2.medical lab 3.dentristry 4.pharmacy 5.physiotherapy dah lengo lilikuwa ni kuchagua kozi ya clinical medicine tuu kwa vyuo vitano tofauti ila kwa bahati mbaya nimechagua koz hizo nikijua unaweza kuchagua koz zaid ya moja kwa chuo kimoja huku nafasi ya kuchagua koz kwenye vyuo vitano ipo pale pale( kama ifanyikavyo under TCU) kumbe huku under NACTE ni tofauti,unaruhusiwa kuchagua koz tano tuu haijalishi kama chuo kimoja au laa
namimi napenda kozi ya clinical tuu hata cjui nifanyajee maana ikitokea cjachaguliwa hiyo clinical hapo nitakuwa na wakati mgumu sana kimasomo
ushauri tafadhali mwenye kufahamu kama kuna njia yoyote ya kufanya hapo ili niundone hizo taarifa,nawasilisha tafadhali
Nadhani bado una option ya kufuta. Nijuavyo kwa vile deadline bado, unafuta machaguo na kuanza upya.

By the way, what about Lugalo and Kibaha? Nimecheki website zao hazina kitu.
 
Wakati naapply nilijaribu Lugalo mbona kipi kuwa kinakubali tuu na unapewa taarifa zake kabla hujasubmitt
Nadhani bado una option ya kufuta . Nijuavyo kwa vile deadline bado, unafuta machaguo na kuanza upya.

By the way, what about Lugalo and Kibaha? nimecheki website zao hazina kitu
 
ukienda kwenye account ya nacte utakuta kuna sehemu imeandikwa online application2021 ukifungua unajisajili kama maelezo yatavyohitajika then utapata password na baada ya hapo utapewa control number ukalipie ili uendelee na udahili
Akaunti ya NACTE ndiyo ipi?
 
sawa,oy mkali af uliwah kuniambia kwenye uzi mmoja niliweka hivi karibuni hapa kwa forum kuwa chin ya point 12 hupati nafas kwenye vyuo vya afya vya serikali vp ww unayoo?! maana unataka kuapply lugalooo
Kuna kijana wangu namtafutia chuo. Alimaliza form 4 akaenda form five. Niliomba enzi hizo Lugalo akapata, lakini wote waliochguliwa waikuwa div 1 chini ya point 12 (kama sikosei). Naweka tahadhali tu maana form six results bado, otherwise with good performance atakwenda University.
 
Kuna kijana wangu namtafutia chuo. Alimaliza form 4 akaenda form five. Niliomba enzi hizo Lugalo akapata, lkn wote waliochguliwa waikuwa div 1 chini ya point 12 (kama sikosei). Naweka tahadhali tu maana form six results bado , otherwise with good performance atakwenda University.
Ahaa sawa, imeeleweka
 
Helooo xory jaman hii inamaana gan ?
Nimepewa control number nimelipia lakin hawanipeleki sehemu ya kuchagua vyuo.
Naishia kuona hiv
Msaada tafadhal
Screenshot_2021-06-28-09-37-22-1.jpg
 
Hivi kama una o level C ya chem C ya bios na D ya physic unawez kupata nafasi vyuo vya afya ngazi ya diploma
 
Back
Top Bottom