Nina Shahada katika Uchumi na Takwimu, natafuta kazi

Nov 20, 2014
19
45
Habarini wanajamvi wenzangu,

Vijana wenzangu, wadogo Zangu na wakubwa Zangu, ndugu jamaa na marafiki nimekuja jukwaani humu kuomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia kupata kazi/Connection yoyote halali popote ndani ya Tanzania hii ninaomba anisaidie baada ya kuumaliza shahada yangu ya kwanza nilijiunga na Jeshi la kujenga taifa (JKT) nimefanya mafunzo na majukumu mbalimbali ndani ya chombo hicho kwa miaka mi3 kuanzia Nov 2017- Dec 2020 bahati mbaya sikubahatika kupata ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama paka mkataba wangu ulipomalizika kwa Sasa nipo Mkoani Arusha.

Umri wangu: 29yrs
Elimu: Shahada katika Uchumi na Takwimu.
Niko teyari kufanya shughuli Yeyote halali mahali popote ndani na Tanzania bila kujali elimu yangu, mazingira wala changamoto mpya.

Sifa
Mwepesi kujifunza vitu vipya, mchapa kazi, Mwaminifu, mcha Mungu, mstahimilivu,mtu wa kufocus kakika kupata matoke chanya katika utendaji lakini pia msiri.

Kwa Yeyote mwenye kuweza kunisaidia au kunishika mkono au hata kunionyesha njia ya kupita tafadhali ninaomba anisaidie na Mimi naahidi sitamwangusha ukinipm nikipata ujumbe wako nitakujibu kwa wakati kwa Jambo lolote kuhusina na uzi huu ikiwemo hata ushauri karibuni sana.

Natanguliza shukrani Zangu za dhati kwenu nyote.
 
Nov 20, 2014
19
45
Ninashukuruni nyote kadiri mnavyoendelea kunitia moyo kwa namna mbalimbali bado Nina Imani kupitia jukwaa hili fursa Ni nyingi na fursa zinatokana na watu hvyo hasa pale unapokuwa muwazi kusema shida/hitajio lako kwa wadau wa aina mbalimbali humu bac Inshallah panapomajaliwa nitafanikiwa Asanteni sana.
 
Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
6,643
2,000
Habarini wanajamvi wenzangu,

Vijana wenzangu, wadogo Zangu na wakubwa Zangu, ndugu jamaa na marafiki nimekuja jukwaani humu kuomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia kupata kazi/Connection yoyote halali popote ndani ya Tanzania hii ninaomba anisaidie baada ya kuumaliza shahada yangu ya kwanza nilijiunga na Jeshi la kujenga taifa (JKT) nimefanya mafunzo na majukumu mbalimbali ndani ya chombo hicho kwa miaka mi3 kuanzia Nov 2017- Dec 2020 bahati mbaya sikubahatika kupata ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama paka mkataba wangu ulipomalizika kwa Sasa nipo Mkoani Arusha.

Umri wangu: 29yrs
Elimu: Shahada katika Uchumi na Takwimu.
Niko teyari kufanya shughuli Yeyote halali mahali popote ndani na Tanzania bila kujali elimu yangu, mazingira wala changamoto mpya.

Sifa
Mwepesi kujifunza vitu vipya, mchapa kazi, Mwaminifu, mcha Mungu, mstahimilivu,mtu wa kufocus kakika kupata matoke chanya katika utendaji lakini pia msiri.

Kwa Yeyote mwenye kuweza kunisaidia au kunishika mkono au hata kunionyesha njia ya kupita tafadhali ninaomba anisaidie na Mimi naahidi sitamwangusha ukinipm nikipata ujumbe wako nitakujibu kwa wakati kwa Jambo lolote kuhusina na uzi huu ikiwemo hata ushauri karibuni sana.

Natanguliza shukrani Zangu za dhati kwenu nyote.
Mkuu ukitaka ajira humu ndani tembelea thread za Jamii Opportunities naamini hutojuta.
Kazi kwako mkuu
 
Nov 20, 2014
19
45
Habarini Tena wanajukwaa?
Nimerudi Tena kwenu ndugu Zangu na uzi wangu huu bado ninahitaji kupata kazi chondechonde nisaidieni mwenzenu Mimi Hali bado ni tete kila kukicha afadhali ya Jana.

Asante sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom