Naomba kujua Sabaya anashikiliwa katika mahabusu gani?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Wakati tunaambiwa Sabaya anashikiliwa na TAKUKURU kwa mahojiano, binafsi ningependa kujua anashikiliwa katika mahabusu gani? Pili, napenda kuuliza kama sheria inaruhusu TAKUKURU kukamata watuhumiwa na pia kama sheria inawaruhusu kuwaweka ndani mahabusu.

Mwisho, hivi kuna vyombo vingine vya habari vinavyoripoti habari za Sabaya zaidi ya gazeti la Raia Mwema? Nina mashaka sana na mwenendo mzima wa hiki tunachoambiwa au kukisoma kuhusu Bwana Sabaya.

1622640372706.png
 
Nadhani yupo kwenye mahabusu zao takukuru na hii ni kutokana na kukusanya taarifa ambazo wanazihitaji, ikifikia swala la kumfikisha mahakamani sasa ndio atarudi kwenye mahabusu hizi za kawaida.

Mambo mengine ukiyaachia hazards kwa kuwa unafuata utaratibu unaweza usipate taarifa unayohitaji kufanyia kazi.
 
nadhani yupo kwenye mahabusu zao takukuru na hii ni kutokana na kukusanya taarifa ambazo wanazihitaji, ikifikia swala la kumfikisha mahakamani sasa ndio atarudi kwenye mahabusu hizi za kawaida.

mambo mengine ukiyaachia hazards kwa kuwa unafuata utaratibu unaweza usipate taarifa unayohitaji kufanyia kazi.
Toka lini wwe ukasikia kuna Kiongozi aliye wai kafungwa hapa Tanzania!?
 
Sabaya alitenda mabaya ya kishetani akizani mtukufu magufuli angekuwa Rais wa milele kama China lakini sasa ameumbuka anajuuta kutekeleza udikiteta wa marehemu magufuli
 
Back
Top Bottom