Unasemaje mkuu lete habariKama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kupata mwenyeji wa Tunduma, kuna taarifa nafuatilia ningependa kupata msaada wa majibu yake.
Natanguliza shukrani.
Kama unatafuta dawa ya utajiri sema. Tutakupeleka hadi Kasumbalesa. Ila jiandae kumtoa mama yako au dada yako kafara
Mkuu nilikuwa natania ndugu yanguCheki pm mkuu
😁😁😁Hahahaha aisifuaye mvua imemnyea!