kaka km
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 1,336
- 681
Wataalam naomba ushauri wa kitaalam.
Nimekutana na mwanamke ila hatukupima UKIMWI, tukafanya mapenzi bila kinga.
Baada ya wiki 5, siku kama 36 tukakutana tena na tukafanya mapenzi bila kinga lakini baada ya kufanya mapenzi tukapima ukimwi(naomba kukiri kua huu ni ujinga nilifanya). Baada ya vipimo majibu yakaja negative kwangu na positive kwake.
Baada ya hayo majibu tukaenda hospitali,wakarudia vipimo mara 2, kwa bioline na Unigold, majibuhayakua na tofauti na tulivyopima sisi.
Baada ya hapo nikaanzishiwa PEP ambayo ndio naendelea kutumia.
Je, risk kubwa kwangu hapo iko kwenye exposure ya kwanza ama hii ya pili ambayo natumia PEP.
Je HIV inaweza kua imejitokeza kwenye mwili kama umeambukizwa kwa siku 35 hizo?
Mimi binafsi niko worried na exposure ya kwanza.
Naomba wataalam mniambie kitaalam hapo kipi ni kipi.
Ahsanteni sana.
Update tarehe 12 June 2021
Leo ni siku ya 60 ama wiki ya 8 toka ile exposure ya kwanza na siku ya 25 ya exposure ya pili ambayo ndio natumia PEP. Nimeenda hospitali wamenipima bado majibu yanaonyesha niko salama.
Bado naendelea kuomba majibu yawe hivi hivi hata siku 90 zikifika.