Naomba kujua kama kuna watu waliitwa interview ajira za mahakamani

Twinawe

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
1,259
2,000
Mwezi february tume ya mahakama ilitangaza ajira katika kada tofauti.

Naomba kufahahamishwa kama kuna watu washaitwa interview.
 

Mega Mind Nyerere

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
1,960
2,000
Watu walishaitwa kwenye usaili mkuu. Waliweka majina kwenye website yao ya utumishi wa mahakama wiki mbili zilizopita baada ya ku-shortlist

Kila kada wali-shortlist majina yasiyozidi 10.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom