Naomba kujuzwa orodha ya NGO's za Social Work zilizopo Dar es Salaam

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,912
2,000
Habari za leo ndugu zangu,

Kabla ya yote naomba nitangulize shukrani zangu za dhati kwenu nyote ndugu zangu wana JamiiForums.

Nimeandika huu uzi kwenu kuomba mnijuze orodha ya NGOs za Social work (kazi za Jamii) zilizopo Dar es Salaam.

Naheshimu mchango wenu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom