naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbu

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Wajemeni eeh Kuuliza si ujinga na kuuliza njia ndio kujua njia! Nahitaji bastola, kwa self defence tu, si vinginevyo! Sababu; najiona vulnerable mno huko 'uswekeni' ninakoishi. Hamna umeme, na majirani wanahesabika, BTW, practicing targets zipo za kutosha huko! Najua humu kuna wengi tu...
  2. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi yoyote ile

    Habari wakuu,naomba kazi yoyote ile, Kwa sasa nipo Dodoma ila naweza kuifuata popote pale ilipo ndani ya Tanzania Jinsia ni Me Iwe kusaidia kuhudumia mgahawani Kukaanga chipsi Kuchoma chapati Kufanya usafi gesti au lodge Kuwa houseboy Natanguliza shukrani..
  3. D

    JamiiForums Tanzania Looking for a job marketing positions or insurance principal officer

    I'm Denis sSamwel Mwalumuli 24 age I'm living in Tabata Barakuda, Dar es salaam I'm looking for a job from two kinds writing above heading, marketing position or either insurance principal officer because I have graduate and very experiences in this two derpatment. I'm ready to work any place...
  4. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua uhusiano wa kifua kikubwa au six pax(mbavu nene) na Nguvu za kupigana

    nguvu za kupigana Mbinu za kupigana Style za kupigana ...zinahusikaje na Six pack Mbavu nene Misuli mikononi Midevu ya morison au rickross N.k??
  5. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa nini cha kufanya kuhusu udahili wa masomo kozi za afya 2021/2022

    Habari za saa hii wakuu Jamani nilikuwa naomba ushauri wa nini cha kufanya, nimechagua programme tano za kusoma bila kutarajia kwenye chuo kimoja ambacho ni MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE na kozi zenyewe ni 1.Clinical medicine 2.medical lab 3.dentristry 4.pharmacy 5.physiotherapy...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Naomba picha ya Stendi kuu ya mabasi Moshi nione kama ina tofauti na ile ya Bukoba tujiridhishe na CHADEMA!

    Sina mambo mengi naomba bwashee yoyote mwenye picha ya stendi kuu ya mabasi pale Moshi aitupie hapa. Manispaa ya Moshi kwa muda mrefu imeongozwa na Chadema nataka kujiridhisha na ubunifu wao. Hapa Iringa Chadema walijitahidi wakatujengea Stendi ya kisasa pale Igumbilo ila sijajua kule Mbeya kwa...
  7. Paa

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za ufundi pamoja na bei za vitu vifuatavyo

    To design and install video recording studio Installation of an acoustic wall to improve silence in the range of 60-70dB Installation of ceiling panels to improve silence in the range of 60-70dB Installation of LED lighting Installation of air-conditioning system Painting and decorations...
  8. Twinawe

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama kuna watu waliitwa interview ajira za mahakamani

    Mwezi february tume ya mahakama ilitangaza ajira katika kada tofauti. Naomba kufahahamishwa kama kuna watu washaitwa interview.
  9. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Service ya IST

    Salaam Wakuu! Nimemvua mtu IST yenye CC1500, nimempelekea Fundi aiangalie kama kuna shida, kaniambia hakuna shida matatizo ya kawaida. Ila aliyeniuzia akaniambia haina shida labda tu Service. Sasa Basi Wataalamu naombeni ushauri natakiwa nifanye Service ya Kipi na kipi lengo ni Kutaka...
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba nisaidiwe kupata kipande cha video hii

    Somo hapo lahusika, naomba nisaidiwe kupata kipande cha video hii kuanzia dakika ya 17:30 na kuendelea ina jambo muhimu kutoka kwa Hayati Mwl J K Nyerere Video
  11. Mshua's

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nisome Master's ipi kati ya MBA in Marketing na MSc in Natural Resources Management?

    Habari zenu wakuu? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba ushauri nisome Master's ipi kati ya hizo nilizozitaja? Na kama kuna chuo kizuri unakifahamu kwa masomo hayo usisite kunishauri, faida na hasara za kusoma kozi hizo pia ningependa kuzijua. Binafsi nafirikia kwenda UDOM...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nina Shahada katika Uchumi na Takwimu, natafuta kazi

    Habarini wanajamvi wenzangu, Vijana wenzangu, wadogo Zangu na wakubwa Zangu, ndugu jamaa na marafiki nimekuja jukwaani humu kuomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia kupata kazi/Connection yoyote halali popote ndani ya Tanzania hii ninaomba anisaidie baada ya kuumaliza shahada yangu ya...
  13. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Suala la Ufahamu: Naomba Kujua jinsi ya Kufuta Documents kwenye Recycle Bin simu za Samasung

    Salaam! Wadau kama Mada inavyojieleza, naomba Msaada kufuta Documents na Video zilizopo Recycle Bin Samsung Galaxy A12. Nimefuta vitu kibao kwenye Simu ila naona Vinahamia Recycle bin na bado naoma nakosa Nafasi kwenye Simu. Maana nilikuwa na Video zenye Ukubwa wa zaidi ya 20GB ila nimefuta...
  14. Airmanula

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata mwenyeji wa Tunduma

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kupata mwenyeji wa Tunduma, kuna taarifa nafuatilia ningependa kupata msaada wa majibu yake. Natanguliza shukrani.
  15. Aijohn

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada na ufafanuzi kuhusu uvimbe kwenye mayai na tiba yake

    Wataalam habari za Muda huu? Naomba msaada wa elimu katika hili. Baada ya kuishi na mke wangu kwa muda wa miaka mitatu Sasa bila kupata hata dalili yoyote ya mimba maana hata period yenyewe haieleweki unakuta mwezi huu kaingia tarehe hii mwezi ujao tarehe nyingine tena au inatokea inapita Ata...
  16. mtimawachi

    JamiiForums Tanzania Naomba kutajiwa faida za dini

    Mpaka sasa nafikisha miaka 43,nimeijua moja tu,nayo ni kusaidia kwenye elimu, nje ya hapo sijaona. Hapa nazungumzia UKRISTO NA UISLAMU.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Wapendwa naomba kujuzwa kuhusu vyuo hivi kuelekea udahili wa masomo ngazi ya astashahada na stahada 2021/2022

    Habari za wakati huu kila mmoja,poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa. wapendwa naomba kujuzwa kati ya vyuo hivi LUGALO MILLITARY MEDICAL SCHOOL,KIBAHA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,TANGA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MTWARA COLLEGE OF...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hii ndio silaha kuu ya Hamas (Magaidi wa Palestina) inayowaumiza vichwa Israel

    Silaha kuu wanayotumia Magaidi wa Palestina (HAMAS) ni raia wema na makazi yao, Ni ngumu sana kupigana na mtu anaetumia maisha ya raia wema kama ngao. Pale Israel napopanga shambulizi huwa inatumia rasilimali nyingi, muda mwingi na maandalizi ya umakini ili kupunguza maafa kwa raia wema pindi...
  19. Siri ya sifuri

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kitaalam viungo vyangu vya mwili vinakosa nguvu

    Habari zenu wakuu, Naomba msaada wa kidaktari, mimi mwana Jf mwenzenu ninatatizo la kiafya linalonipelekea kuhisi kwamba mwili wangu hauko timilifu kiutendaji, yaani mfumo wa fahamu unafanyakazi chini ya kiwango. Ni hivi nimezaliwa nikiwa mzima wa afya sina tatizo lolote, ila baada ya kufikia...
  20. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Naomba pikipiki kwa ajili ya bodaboda Dodoma

    Habari za leo wakuu,kijana wenu naomba yeyote mwenye pikipiki kwa ajili ya bodaboda anipatie nimfanyie kazi kama dereva wake kwa hesabu tutakayokubaliana kwa uaminifu mkubwa kabisa. Au kama kuna ambaye anafahamu wapi nitapata mkopo wa pikipiki unaolipiwa either kwa kila wiki au mwezi kwa...
Back
Top Bottom