Naomba msaada dawa za eye drop kama hizi nazipata wapi?

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,279
2,000
Nahitaji moja ya dawa zifuatazo au moja wapo:

1. Oclumed eye drop
2. Can-c eye drop

Msaada maana nimetafuta sana nimekosa.
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,714
2,000
Nahitaji moja ya dawa zifuatazo au moja wapo:

1. Oclumed eye drop
2. Can-c eye drop

Msaada maana nimetafuta sana nimekosa.
Utatafuta sana tena sana.
Sababu kuu unatafuta Trade name instead of Generic Names au bila kuangalia role ya dawa mfano inaweza kiwa lubricant tu na lubricants/artificial tears ziko nyingi.

Hopefuly ntakua nimekusaidia
 
Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,279
2,000
Utatafuta sana tena sana.
Sababu kuu unatafuta Trade name instead of Generic Names au bila kuangalia role ya dawa mfano inaweza kiwa lubricant tu na lubricants/artificial tears ziko nyingi.

Hopefuly ntakua nimekusaidia
1. Can-c ingedients: ingredients: Glycerine (lubricant) 1%, Carboxymethylcellulose sodium (lubricant) 0.3%. Inactive ingredients: Sterile Water (ophthalmic grade solution pH 6.7 to 6.9). Antioxidants: N-Acetyl-Carnosine (NAC)* 1%.
Sky Eclat
2. Oclumed contains N-acetylcarnosine, L-carnosine, L-glutathione, cysteine ascorbate and L-cysteine
 
Resurrection

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
349
500
1. Can-c ingedients: ingredients: Glycerine (lubricant) 1%, Carboxymethylcellulose sodium (lubricant) 0.3%. Inactive ingredients: Sterile Water (ophthalmic grade solution pH 6.7 to 6.9). Antioxidants: N-Acetyl-Carnosine (NAC)* 1%.
Sky Eclat
2. Oclumed contains N-acetylcarnosine, L-carnosine, L-glutathione, cysteine ascorbate and L-cysteine
Mung umepata tena hizo dawa unaweza kunicheki pm
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom