Naam, Mimi ni mwanachama wa muda mrefu hapa kwenye ukurasa wa Siasa. Nimetoa mchango wangu kwa umoja huu kupitia ukurasa huu. Nimerekebisha baadhi ya mambo kutokana na hoja zangu na niseme tu nimekuwa nikifarijika sana pale ninaposhauri au kutoa hoja ikaleta positive impact kwenye jamii...
Habari wadau,
Nipo katika misele misele najaribu angalia maeneo mbali mbali yenye potential hapa mjini? Ila nimekuwa interested na kupaelewa Kigamboni kwa wakazi wa huko najua mpo humu mnaona kuna potential kibiashara? Je, biashara zipi ambazo zinaweza kufanikiwa kirahisi kwa eneo hilo? RRONDO
Kuna sauti ya kike huwa inasoma Classfieds(mfano yale matangazo ya vyuo na shule) pale Cloudsfm kwa ubora wa juu kabisa, matamshi mazuri+sauti nzuri corporate.
Nadhani hakuna msoma classfieds anayemfikia kwa sasa. Please naomba jina lake kwa wanaomjua
Naomba kujuzwa kwa mwenye ufahamu.
Swali langu ni kwamba kama ulipata mkopo kutoka (HESLB) na uka Disco ni kweli unaweza pata tena baada ya kulipa 25 asilimia?
Habari wakuu.
Kuna kitu hua nashindwa kukielewa hasa wizi wa magari.
Je wizi wa gari unafanyikaje kama gari imefungwa.
Je unakutamwizi ana funguo ya ziada ama nini kinafanyika.
Je kwa gari ambazo ni keyless za push to start pia zinaibiwaje maana nyingine kama hujaingia na ufunguo haiondoki...
Wanabodi habari,
Kwa heshima zote naomba kujua ipi ni njia nafuu ya kupata gari bora kati ya kununua hapa bongo au kuagiza nje ya nchi maana natarijia kununua gari hivi karibuni.
Naomba ufafanuzi tafadhali.
Habari wakuu,
Nilikuwa na namba za wachambuzi wa muziki Kama Rajab Zomboko, Chacha Maginga lakini bahati mbaya nimefanya reset ya Simu sizioni Tena.
Naomba mwenye namba hizo na za wachambuzi wengine naomba anitumie hapa au PM au kwenye 0776655978
Hayo ameyasema wakati akihutubia wananchi wa eneo la Busisi wilayani Sengerema wakati wa ukaguzi wa daraja la Magufuli lenye urefu wa zaidi kilomita zaidi tatu.
Je, unyonge wa watanzania umeanza kukemewa na kuwafanya wenye nguvu ndani ya taifa lao? hakika hili jina la wanyonge mi mwenyewe...
Wadau habari za weekend!
Naomba wenyeji ama yeyote mwenye ufahamu na mkoa wa Singida hususani wilaya Singida Dc anifahamishe yafuatayo.
1. Maisha ya pale kwa ujumla eg nyumba za kupanga kiasi gani, chakula, upatikanaji wa maji, hospitali, kabila gani wako pale ambao ni popular.
2...
Neno lipo ..."NISAMEHE"...neno hili ninamaana nyingine ambayo ni ..."NIHURUMIE"...
Linatamkwa hivi (kama mtu anaomba msamaha au ahurumiwe)
"TANYABHERHA"
Neno kuomba/kusihi....."KUSASAMA"
Sentensi "Naomba unisamehe "
"Ndaghosasama tanyabhera"
Kwenye upande wa "kuomba" lipo neno pia...
1. Idara (department) mfano idara ya usalama wa taifa
2. Kurugenzi mfano kurugenzi ya mawasiliano ikulu
3. Mamlaka (authority) mfano mamlaka ya bandari
5. Taasisi mfano taasisi ya elimu ya watu wazima
6. Tume mfano tume ya uchaguzi
7. Baraza mfano baraza la michezo
8. Wakala mfano wakala wa...
Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya...
Hello hanari ya muda huu wadau?
Naomba Kama kuuliza kama Kuna mtu ashawahi kusoma au ana uelewa wa hii course Forest Industries Technology, Je inahusiana na nini na baada ya mhitimu kumaliza kozi hii anafanya shughuli zipi?
Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 29,nna mke na mtoto mmoja, elimu yangu ni kidato cha nne naishi Dar.
Nimejitokeza hapa kuomba kazi utakayo ona naweza kufanya kwako kulingana na uzoefu nilio nao.
1. USAFI WA KAWAIDA AINA ZOTE
Naweza kufanya usafi wa kawaida nyumbani...
Wakuu Salaam.
Naomba Kujua Faida za Injini ya Petrol pia za Diesel.
Na Je, ni Injini ipi bora kati ya hiz mbili.
Interms of Durability na Performance.
Naombeni Michango yenu.
1. Ben Saanane pole sana huko uliko.
2. Azory Gwanda pole sana huko uliko.
3. Binti Akwilina Akwilina pole sana huko uliko.
4. Clouds tv hasa hasa Marehemu Ruge na Watangazaji wa Shilawadu akina Soudy Brown na Kwisa, poleni sana.
5. Mwanamuziki Roma Mkatoliki pole sana.
6. Yusuf Mehboob...
Msemaji mkuu wa serikali Mh Gerson Msigwa ametolea ufafanuzi tangazo la serikali linalohusu chanjo ya Corona.
Msigwa amesema chanjo iliyoruhusiwa ni kwa ajili ya wafanyakazi wa balozi na taasisi za kigeni tu.
Kuhusu chanjo ya Corona kwa wananchi serikali itafanya uamuzi baada ya kupitia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.