Mama Samia: Naomba msiwe wanyonge

THE LOST

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
1,473
2,000
Hayo ameyasema wakati akihutubia wananchi wa eneo la Busisi wilayani Sengerema wakati wa ukaguzi wa daraja la Magufuli lenye urefu wa zaidi kilomita zaidi tatu.

Je, unyonge wa watanzania umeanza kukemewa na kuwafanya wenye nguvu ndani ya taifa lao? hakika hili jina la wanyonge mi mwenyewe lilikuwa linanitibua sana.
 

SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
3,532
2,000
IMG_20210411_210541_348.JPG
 

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
1,973
2,000
Hayo ameyasema wakati akihutubia wananchi wa eneo la Busisi wilayani Sengerema wakati wa ukaguzi wa daraja la Magufuli lenye urefu wa zaidi kilomita zaidi tatu. Je unyonge wa watanzania umeanza kukemewa na kuwafanya wenye nguvu ndani ya taifa lao? hakika hili jina la wanyonge mi mwenyewe lilikuwa linanitibua sana.
Kabisa, nakumbuka pia akiongea na kina mama pale Dodoma Aliwaambia "msiwe wanyonge" maana yake unyonge ni udhaifu
 

Autodidacts

JF-Expert Member
Jun 9, 2021
234
500
Hayo ameyasema wakati akihutubia wananchi wa eneo la Busisi wilayani Sengerema wakati wa ukaguzi wa daraja la Magufuli lenye urefu wa zaidi kilomita zaidi tatu. Je unyonge wa watanzania umeanza kukemewa na kuwafanya wenye nguvu ndani ya taifa lao? hakika hili jina la wanyonge mi mwenyewe lilikuwa linanitibua sana.
Walidhani kuitwa mnyonge ni sifa positive kumbe ni sifa negative kabisa,huu ni uendawazimu na ujinga wa hali ya juu sana. Mungu asingeingilia kati tulikuwa tunaelekea Sobibo au Jehanamu kabisa.

Tulitawaliwa na Rais asiye na exposure wala utu na uenda ni kweli mwendazake alikuwa ni psychiatric case maana matendo hayakuwa ya binadamu wa kawaida ,tujifunze kutoweka monsters posts za juu tutaumia...shame to his supporters, shame,shame.
 

cotyledon

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
705
500
Walidhani kuitwa mnyonge ni sifa positive kumbe ni sifa negative kabisa,huu ni uendawazimu na ujinga wa hali ya juu sana. Mungu asingeingilia kati tulikuwa tunaelekea Sobibo au Jehanamu kabisa...
Hao wengine waliifanyia nini Tanzania ambacho ni cha kipekee
 

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,356
2,000
hakika hili jina la wanyonge mi mwenyewe lilikuwa linanitibua sana.
Chanzo ni hawa hapa
 

Kinkunti El Perdedo

JF-Expert Member
Nov 28, 2020
1,086
2,000
Namshukuru Mungu sikuwa kuwa mnyonge na sikuwahi kukubali kuitwa mnyonge na hata mtu akijiita mnyonge huwa namwona ndio shida wa maendeleo by Magufuli. hata ukiamka sasa hivi hutaamini kila kitu umebadilika na hata Sabaya yuko magereza/mahabusu huko
Vipi CCM hawaja kwenda kumuona? Maana Chuma mbowe muda huu Yuko mahakama kuu Mbeya kwa Mdude
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom