Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

Masinki

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
695
461
Wadau habari za weekend!

Naomba wenyeji ama yeyote mwenye ufahamu na mkoa wa Singida hususani wilaya Singida Dc anifahamishe yafuatayo.

1. Maisha ya pale kwa ujumla eg nyumba za kupanga kiasi gani, chakula, upatikanaji wa maji, hospitali, kabila gani wako pale ambao ni popular.

2. Viwanja vya kupumzikia eg bar, lodge, restaurant na mengineyo.

3. Vyuo na vilipo, tabia na menendo ya watu wa Singida, mitaa!

Na yapi ya kuzingatia mtu awapo Singida, hali ya hewa bila kusahau miiko yao na tamaduni zao.

Wale wa Tabora jiandaeni uzi wenu unakuja.
 
Back
Top Bottom