Unaweza kupata tena mkopo endapo utakuwa discontinued?

Remy Tem

Member
Dec 5, 2020
15
7
Naomba kujuzwa kwa mwenye ufahamu.

Swali langu ni kwamba kama ulipata mkopo kutoka (HESLB) na uka Disco ni kweli unaweza pata tena baada ya kulipa 25 asilimia?
 
Ningumu kuliko hata kutafuta pesa zako mwenyewe ukajilipia upya.

Kifupi disco ina consequences zake ikiwepo na hiyo. Mkiambiwa msome mnakalia konyoa viduku.

Pole sana ndugu.
 
Hakuna nasema kwenye SERIKARI yangu udisco harafu urudi na mkopo upate?! Hiiiiiiiiih
Nasema uongo Ndugu zanguuuu
anapata endapo
1.hajavuka miaka mitatu toka amalize form six
2. hiyo kozi ni priorty
3. amelipa 25%
hivyo tu vinginevyo hupati
 
Back
Top Bottom