Aliepotosha wakurya hawana neno la "Nisamehe" na "Naomba" ni muongo tu

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
Neno lipo ..."NISAMEHE"...neno hili ninamaana nyingine ambayo ni ..."NIHURUMIE"...

Linatamkwa hivi (kama mtu anaomba msamaha au ahurumiwe)

"TANYABHERHA"

Neno kuomba/kusihi....."KUSASAMA"

Sentensi "Naomba unisamehe "

"Ndaghosasama tanyabhera"

Kwenye upande wa "kuomba" lipo neno pia....

KUOMBA=OGHOSABHA

1. Naomba maji ....."ndasabha amanche"
2. Nipe maji...."tang'a amanche" (kwa uvivu tu wakutumia lugha fasaha, sentensi hii hutumika mara zote )

Chanzo::
HDP
 
Lugha zote ambazo wanaongea binadam ni sawa. Hakuna lugha yenye kukosa maneno au yenye maneno zaidi yanyingine , isipokuwatu watumiaji ndio wanatakiwa kuitumia lugha yao kuikuza kwa maneno yao
 
Mkuu inategemea kutokana na tafauti ya mambo ya mila ambayo makabila mengine hawana na hata kwenye lugha zao hawana.
Mfano: makabila hayana mila ya KUTAHIRI, neno kutahiri au jando hawana.
 
Watanzania wanakabiliwa na ujinga mwisngi na generalisation syndrome, hawana muda wa kutafta facts, wao wanaenda na upepo tu wowote hasa wa uzushi ni rahisi sana kuwakamata.

Utasikia wanawake wa kihaya malaya, unajiuliza ina maana wanawake wote wa kihaya ni malaya hakuna alieolewa wote wanauza uchi barabarani?

Utasikia Wanawake wa machame wanaua wanaume unajiuliza kwa hiyo machame yote hakuna wanaume wote wameuwawa?

Utasikia wakurya wanapiga wanawake, unajiuliza wanawake wote wanaopigwa kina uchebe alikua anamfumua Shilole, Chris brown alimdunda Rihana wote ni wakurya?

Ukiwasikiliza watanzania wengi hutafanya lolote, maana wana negativety kwa kila kabila.

Hii tabia ya kuhusisha tabia ya mtu na watu wote wa kabila lake ni ujinga wa hali ya juu sana. Mwalimu alipambana na ujinga lakini amekufa ameacha ujinga ndio imeshamiri.
 
Big point mkuu

Yani tabia ya mmachame itadhaniwa ni ya wachaga wote.

yanayofanywa na walokole yatachukuliwa ni ya wakristo wote

yanayofanywa na waislam dhehebu la shiha yatakuwa generalised kwa waislam wote

hili ni tatizo la taifa, hata lady j dee kwasababu tu katokea mara watu wame conclude ni mkurya 😂😂
 
images.jpeg
 
Back
Top Bottom