Wakuu kwema? Nina simu janja yangu nikiweka mfukoni mara nyingi nakuta Camera imrjiwasha yenyewe
Tatizo hili nalitatua vip maana linamaliza chaji na kuua betri haraka
Huwa nawashangaa vijana wanaopambana ili kuwapa wanawake pesa, honestly they know nothing kuhusu maisha.
Mtu ambaye anatembea na wanaume tofauti ili tu apate kula, kuvaa na kulipa kodi au bills zake then akiachwa huku akakimbilia kule.
Fahamu tu kuwa watu kama hawa akili zao zipo broke that...
Miezi miwili iliyopita nilipata choo kigumu sana kiasi kwamba maumivu niliyapata ndani ya wiki baada ya hapo kila nikipata haja lazima maumivu ingawa sio Kila mara ila mara nyingi huwa hivyo, na leo nimeenda kupata choo baada ya haja kutoka na damu ikatoka. Je, tatizo litakuwa nini?.
Msaada wana JF
Niende moja Kwa moja kwenye mada bila kuwachosha.
Ninaitaji msaada wa dawa ya kifua kubana hasa usiku na kutoa sauti kama ya filimbi kwa umbali na nikikohoa natoa kama kama vikamba kamba.
Tatizo hili limeanza ukubwani japo sina historia ya kusumbuliwa na kifua. Na tatizo hili hutokea nikivuta...
Habari wakuu!
Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, yaani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, in short yaani ni uchafu mtupu.
Kilichonisikitisha zaidi ile ni mitaa ya makazi ya watu na niliona watoto wadogo...
Wasalam,
Kwa baadhi yetu ambao pets hasa mbwa na paka ni sehemu ya maisha yetu na tuna mapenzi na wanyama hawa lakini pia tuna ufahamu wa aina mbalimbali za wanyama hawa. Naomba kusaidiwa aina ya mbwa huyu (puppy).
Nilikuwa na shepherd mdogo lakini wajanja wakapita nae 😅, hivyo sikutaka kujipa...
Habari ya muda huu.
Mwanangu wa miezi 12 hajanza kutambaa, naombeni ushauri wenu ila alichelewa kulia wakati wakuzaliwa lakini pia degedege huwa inamsumbua.
Naombeni ushauri wenu namna ya kumsaidia inaniuma saana ndugu zangu.😭😭😭
Habari,
Naomba ushauri kwenye jambo hili ambalo nahisi kuonewa.
Nilikua mtumishi wa umma kwa miaka nane. Nimemtumikia mwajiri wangu kwa miaka nane. Mwaka jana nilipata changamoto nikawa na kesi ya Misconduct, kesi ilichukua muda mrefu kiasi mbaka napewa barua ya uamuzi kuna baadhi ya kanuni...
Nina Ordinary Diploma ya Famasi sasa najaribu kuingiza taarifa zangu kwenye Ajira Portal hasa Education level ila siioni option ya Ordinary Diploma(Level 6) nimeona Advanced diploma na Higer diploma pia na FTC sasa naombeni mnisaidie ipi kati ya hizo ni equivalent na Ordinary diploma?
Thanks...
Wanajukwaa naombeni msaada kwenye hili, nimeagiza gari japan na nimetumiwa profoma invoice na details za kibank kwa ajili ya kulipia inasema tarehe ya mwisho kulipa ni tarehe 9/8/2023 kwa saa za japan.
Nimekwama hapa bank nnayotumia mimi leo nanenane hawafungui ina maana mpaka kesho ndo...
Msaada wa maombi ya mkopo wa elimu ya juu(HESLB) nilikuwa namuapplyia mkopo mdogo wangu sasa nimefika katika demograhic info nmejaza fomu vizur inalod tu ainipi murejesho naombeni msaada maana nimekwama siwezi endelea mbele.
Ni kipindi nakumbuka Mwamba aliibatiza jina nchi kuwa donor country (nchi inayotoa misaada) na kuna usemi kwamba Tanzania tulijihudumia bila misaada ya wazungu tulijibana bana tule kwa urefu wa kamba ndio maana hata vyuma ilibidi vikazwe.
Palikuwa pana ukweli?
Hivi wenzangu mnawezaje kuishi na mtu mnafki? Yaan anajifanya yupo na upendo nawe afu kumbe anaumia ndani Kwa ndani.Mi huwa nikigundua huyu mtu siyo...anajitesa tu na kuforce maigizo ya kunipenda huwa namwignore daima...Yaan nampotezea jumla.
Siwezagi kupretend sioni wakati naona Kwa...
Habari zenu wakuu.
Nachukia the way ninakua ninapokua kwenye hedhi.
Ninapokua kwenye siku zangu mahusiano yangu na watu wengine yanakua hatarini.
Mwanzoni nilikua nachukulia kawaida ila sasa hivi nimejua hili ni tatizo tena kubwa na ninaomba anayeweza kunisaidia anisaidie nifanyaje mana hata...
Natumai nyote mko vyema. Moja kwa moja kwenye mada, nina mtoto wa kiume ambaye mwezi wa sita mwaka huu ametimiza miaka miwili. Stages nyingine zote kama kukaa, kutambaa, kutembea, kuanza kuota meno etc. alizipitia kwa wakati. Akiwa na around mwaka mpaka mwaka na nusu alikuwa anaweza kusema mom...
Natumai nyote mko vyema. Moja kwa moja kwenye mada, nina mtoto wa kiume ambaye mwezi wa sita mwaka huu ametimiza miaka miwili. Stages nyingine zote kama kukaa, kutambaa, kutembea, kuanza kuota meno etc. alizipitia kwa wakati. Akiwa na around mwaka mpaka mwaka na nusu alikuwa anaweza kusema mom...
Mara ya mwisho kukutana na binti huyu ni siku yake ya kumi toka ameanza kubleed. Je, dalili hizi kwake inaweza kuwa ni ujauzito? chuchu kuuma, mwili kukosa nguvu,kupoteza hamu ya kula pamoja na kichefuchefu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.