Msaada: Mnawezaje kuishi na mtu mnafiki?

To yeye

JF-Expert Member
Oct 4, 2022
28,214
65,825
Hivi wenzangu mnawezaje kuishi na mtu mnafki? Yaan anajifanya yupo na upendo nawe afu kumbe anaumia ndani Kwa ndani.Mi huwa nikigundua huyu mtu siyo...anajitesa tu na kuforce maigizo ya kunipenda huwa namwignore daima...Yaan nampotezea jumla.

Siwezagi kupretend sioni wakati naona Kwa kweli....wote tu wafu hai ya nini kurembeana mwandiko🤒
 
Hivi wenzangu mnawezaje kuishi na mtu mnafki? Yaan anajifanya yupo na upendo nawe afu kumbe anaumia ndani Kwa ndani.Mi huwa nikigundua huyu mtu siyo...anajitesa tu na kuforce maigizo ya kunipenda huwa namwignore daima...Yaan nampotezea jumla.

Siwezagi kupretend sioni wakati naona Kwa kweli....wote tu watu hai ya nini kurembeana mwandiko🤒

Msaada wa nini sasa mbona kama tayari unayo solution...tena the best one
 
Hivi wenzangu mnawezaje kuishi na mtu mnafki? Yaan anajifanya yupo na upendo nawe afu kumbe anaumia ndani Kwa ndani.Mi huwa nikigundua huyu mtu siyo...anajitesa tu na kuforce maigizo ya kunipenda huwa namwignore daima...Yaan nampotezea jumla.

Siwezagi kupretend sioni wakati naona Kwa kweli....wote tu watu hai ya nini kurembeana mwandiko🤒
Upo kwenye mtanziko eti...?
Hujabainisha tukusaidie nini..?
By the way uvumilivu ni sehemu Moja wapo yakuonyesha unanguvu kiasi gani!,sio mara zote ila inategemea isipokuwa mwisho wasiku Kila kitu kinamaamuzi yake swala ni Moja yapi maamuzi sahihi yakuchukua...?

Ondoa mtu ambae ni hatari kwenye maisha yako,pili Kila mtu unaemuona mbele yako mfanye kuwa ubao wa wewe kujifunzia usikubali utoke patupu... Uwe na utulivu mwema
 
Hivi wenzangu mnawezaje kuishi na mtu mnafki? Yaan anajifanya yupo na upendo nawe afu kumbe anaumia ndani Kwa ndani.Mi huwa nikigundua huyu mtu siyo...anajitesa tu na kuforce maigizo ya kunipenda huwa namwignore daima...Yaan nampotezea jumla.

Siwezagi kupretend sioni wakati naona Kwa kweli....wote tu watu hai ya nini kurembeana mwandiko🤒
Kwani mlishashiriki lile tendo?😇😇🫀🫀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom