Asabuhi leo napitia pitia na kusikiliza Radio Free Africa. Jana hii Taasisi imetoa msaada wa Kilo 3 za maharage kutoka Saudia. Mayor amewashukuru sana na kuishukuru Saudia kwa msaada huu mkubwa kwa wenye shida.
Habari hii imetangazwa sana kitaifa na kimataifa. Asanteni sana ndugu zetu katika...
Mashiirika ya umma kama vile Kibaha Education Centre yanayomiliki shule, walimu wake hutumia ngazi za mishahara za PSTS tofauti na walimu chini ya Tamisemi wanaotumia ngazi za TGTS. Mwalimu anayeanza huko kwenye mashirika huanzia PSTS 3, wakati huko Tamisemi huanzia TGTS D1 771,000/= kwa mwezi...
Mashiirika ya umma kama vile Kibaha Education Centre yanayomiliki shule, walimu wake hutumia ngazi za mishahara za PSTS tofauti na walimu chini ya Tamisemi wanaotumia ngazi za TGTS.
Mwalimu anayeanza huko kwenye mashirika huanzia PSTS 3, wakati huko Tamisemi huanzia TGTS D1 771,000/= kwa...
Habari viongozi kijana wenu na shida moja.
Mimi ni kijana Mtanzania ,shida yangu ni moja, mimi naitwa Elieth jina la kuzaliwa nalo lakini tangu nakua hilo jina walikuwa wakiniambia ni la kike hata shule pia lilikuwa kwenye arodha ya wanawake, kibaya zaidi nimeenda kutengenezea kitambulisho cha...
Habari wapendwa?
Tafadhali naomba ufafanuzi wenu juu ya hili
Je, nini maana ya Part time worker? Na sheria ya kazi imetafsiri vipi juu ya Part time?
Na je, Huyu Part time worker ni lazima akatwe pesa kwa ajili ya mifuko ya akiba ya kijamii?
Habari ndugu zangu humu jukwaani, naombeni machimbo wapi ntapata dollar.
Nimezunguka sana kwenye benki lakini nimekwama, hakuna kabisa.
Sehemu gani naweza kupata dola ndugu zangu? Nahitaji kuagiza mzigo Japan.
Leo naandika kwa hasira.
Hivi kweli kama Taifa tunachezea ishu nyeti ya uagizaji wa petrol?
Mtu na Mme wake, wanatufikisha kwenye gharama za kijinga kabisa leo hii..!
Taarifa hii hapa chini kwa uchache:-
Mume wa spika wa Bunge, ndiye Mkurugenzi wa EWURA, mamlaka ya usimamizi wa Nishati...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Mtandao wa Watoa Huduma ya Msaada wa Kisheria (TANLAP) na Menejimenti ya Legal Services Facility “LSF” jijini Dar es Salaam.
Mhe.Ndumbaro amekutana kujadili masuala ya msaada wa kisheria na ufahamu wa...
Ni hivi nimepata kazi yakumtangazia mtu kazi yake so nikaanza mwanzo niliuza bidhaa mbili . Ila sasa hivi hata moja siuzi wateja waliokubali kufanya na mimi wanadai bidhaa nzuri ila kukubali na kununua bidhaa hawataki .
Nawengine nikiwaambia kuhusu hiyo bidhaa wanazima simu. Hawataki...
Wapendwa naomba msaada nimeishiwa nguvu za kiume miezi miwili sasa hata nimekuwa kero kwa mwenza wangu. Uume umepungua hata ningebanwa mkojo haustuki unabaki umelegea.
Maumivu ya kiuno ni makubwa na hayo yana zaidi ya miaka kumi. Hospitali wamekuwa wakinipa dawa za kupaka tu na za maumivu.
jamaa kafungia ufunguo ndani ya gari na ka lock milango,na kapandisha vyoo vyote, gari ni runx, msaada tafadhali kwamafundi na wazoefu,afanyeje jamaa..
Nahitaji kufikisha kamzigo kadogo tu ka mafuta ya nyonyo na unga wa maziwa ya mbegu za maboga. Kadoogo.
Gari zinaenda Mwanza, hakuna ya Kahama kituo kikuu tokea hapa(Mbeya). Kama ipo nijuze.
Kama kuna anayesafiri karibuni kabla ya nanenane tuwasiliane basi nimkabidhi. Ni kadogo tu utaita...
Jamani ndugu zangu, kwa yeyote mwenye namba ya simu ya Bodi ya mikopo (HESLB) inayopatikana kwa urahisi anisaidie ili niweze kufanya mawasiliano nao; Huu mfumo wa kutuma maombi unanichanganya sasa!!!!
Katika hali ambayo inaweza kuacha maswali mengi na mtazamo tofauti, mtoto Yusuph Issa Juma mwenye umri wa miaka 8, Mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Istiqaama iliyopo Ilemela Jijini Mwanza amesafirishwa kwenda Nchini Canada bila ridhaa ya mama yake.
Mtoto huyo ameondoka katika...
Morogoro. Binti mmoja mkazi wa Mafisa, manispaa ya Morogoro, Amina Abdul amewaomba wadau wa elimu, viongozi pamoja na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kumsaidia kupata vifaa na mahitaji mbalimbali ili aweze kwenda shule ambako amechaguliwa kujiunga na kidato cha tano.
Amina ambaye amemaliza...
Nina kidonda mdomoni pale mwisho wa meno ndani upande wa pili mpaka kutafuna nyama natafunia kulia.
Naomba dawa niliambiwa nisukutue na chumvi ila wapi, kinauma balaa.
Natanguliza shukrani.
Wakuu Naomba Msaada wa kujua chuo kinachotoa Elimu ngazi ya Diploma Upande wa Masomo ya Biasahara yaani Commerce na Bookkeeping.
Naomba kujua pia kama ni chuo cha Serikali AMA cha Binafsi naomba kiwe kinatambulika yaani kilichosajiriwa na Mamlaka husika.
Aksanteni Sana
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Sarah Mwaipopo ameiwakilisha Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) kwenye uzinduzi wa Kampeni ya Mama Samia ya Msaada wa Kisheria iliyozinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango mjini Songea yenye kauli Mbiu isemayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.