msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Msaada nataka kumfungulia mtoto account ya USD kwa ajili ya kumtunzia hela

    Mambo vp wadau kama kuna mtu yoyote anaweza kunisaidia kujua faida na hasara kwa kufungua acc ya usd kwa kuhifadh hela naomba anifafanulie nipate uwelewa vizuri.
  2. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nautafuta huu wimbo

    Sijui nitaupataje. Unaimbwa na kwaya za kilutheri. Haya ni baadhi ya maneno: "Imetupasa kushukuru mno kwa neema yake....mimi na wewe leo wazima, hiyo ni neema...wenzetu hawapo wamekosa nini.....hawakuamka wazima....”
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikigusa maji kila mara miguu inachanika nakuwa na machacha

    Habari wadau kwema, shida yangu ipo hivi, nipo Nyumbani mara nyingi na kuna shughuli huwa nafanya kama kusafisha vyombo pamoja na kufua. Ila shida maji yakiingia kwenye vidole na uyayoni basi shida miguu inapasuka sana, Muda mwingine vidonda vinatokea kwenye vidole, ila nikiwa mkavu miguuni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA JAMANI: Inawezekana kupata marksheet ya A level?

    Kuna mdogo wangu mmoja hapa alikuwa ameomba chuo India ila wamemwambia atume A level marksheet. Sasa naomba kuuliza unaweza pata hio marksheet, wizara ya elimu kule???
  5. central midfielder

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye akaunti yangu ya Instagram

    Wakuu kwema? Pole na majukumu ya hapa na pale. Nahitaji msaada wenu. Nlikuwa na account ya Instagram yenye 8K. Na bado ninayo. Lakini nilikaa kimya sana kwa muda mrefu kidogo. Ni account ambayo ipo kimichezo zaidi. Baada ya kurudi hewani bado nna followers wale wale 8K. Na zaidi. Lakini cha...
  6. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake wa sasa hawakupi msaada mpaka alale na wewe kwanza

    Nimesikitika sana. Huyu dada tupo naye ofisini. Sasa nilipungukiwa tu vicent kadhaa kwa ajili ya kuongezea kununua shamba sehemu fulani. Nikamwambia aniazime nijazie ntamrudishia baada ya week. Akaniambia sawa niende nikachukue kwake Mbezi jana jioni. Nimeenda tukapiga stories na kupata msosi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tiba sahihi ya H. pylori

    Naitaji msaada, mwenye kujua tiba ya H. pylori nipo katika dozi ila bado nateseka natumia helgo kit namaliza jumamosi mwenye kujua tiba anisaidie.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu Kampala International University

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kujua kuhusu hali ya ubora wa chuo cha Kampala International University kwa sasa, maana hapo miaka ya nyuma nliskia kashfa nyingi kuhusu hiki chuo.
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama Akabidhi Msaada wa Serikali wa Kibinadamu Nanyamba na Tandahimba

    Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) imetoa misaada ya kibinadamu kwa kaya 184 za kata ya Kitaya Halmashauri ya wilaya ya Nanyamba na kaya 160 kwa kata ya Michenjele Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba. Zoezi hilo limeongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa logo ya jina la biashara

    Salamu wakuu, Najikongoja kuamka baada ya kupata anguko na ajali pia,nimeregister jina la baishara BRELA (wazawa general supplies limited). Naomba msaada kwa mdau yoyote kunisaidia kutengeneza logo wakuu. WhatsApp number 0742666736 kwa mawasialiano zaidi. Shukrani sana, Mungu awabariki!
  11. cold water

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada mshahara wangu uliositishwa uendelee kuingia

    Samahani, naomba kusaidiwa ili mshahara wangu ulisimamishwa kipindi cha Rais Magufuli. Naomba msaada wenu mnisaidie ili mshahara wangu uendelee kuingia asanteni
  12. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa program ya kuchagua UDOM

    Nisaidie tumsaidie huyu kijana kufanya maombi ya kujiunga na chuo UDOM 1. Pass za kijana ni 13 III G studies D, Geogr D, Chemistry E , Biology D, BAM F 2. Kozi gani anaweza kusoma UDOM be it Degree or Diploma
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msaada mawasiliano ya dermatologist mzuri Mwanza na hospitali anakopatikana

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nna changamoto inayohitaji daktari wa ngozi, sasa nahitaji wenye uzoefu wanisaidie mawasiliano ya daktari mzoefu. Mahali: Mwanza
  14. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata mafao NSSF baada ya kuachishwa kazi

    Jamani naomba msaada kwa anaeelewa kuhusu mafao ya NSSF. Mimi nimewahi kuajiriwa kama professional na baada ya mkataba nilifungua madai NSSF nikalipwa kwa mfumo wa 33.3% ya mshahara wangu kwa muda wa miezi 6 then muda ukapita nikiwa napambana na maisha. Baada ya muda nikapata kazi ambayo si...
  15. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa location ya Saphire glass industry

    Nawasalimu kwa jina la atiaye pumzi ya uhai. Anayejua lication ya kilipo kiwanda cha Saphire Glass industry Mkuranga anielekeze. Nielekezen mtu toka mkoan kama nilivyo nachukua route ipi
  16. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Tv flat screen bajeti 200k

    Wakuu habari za humu, naomba msaada wa kutajiwa TVs bland nzuri kwa bei ya laki mbili mwisho ndo bajeti yangu, nipate tv flat inayoendana na hela yangu, natanguliza shukrani 🙏🙏
  17. Ester505

    JamiiForums Tanzania Watengenezaji sofa msaada

    Heshima kwenu. Naomba kujua kuhusu mbao zinazotumika kutengenezea sofa. Je ni mbao ngumu au Kuna aina nyingine???
  18. cleokippo

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua Apps nzuri ya music player msaada tafadhal

    Habar za usiku wananzengo!! Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Kwayeyote mwenye kujua apps nzuri ya music player kwenye simu naomba anitajie tafadhali ili ni download niweze kuskiliza good music na mimi kwenye kijitambo changu
  19. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gari yenye plate number ya njano kwa matumizi ya nyumbani natakiwa kulipia LATRA

    Nina gari ndogo aina ya Pickup Toyota Hilux. Gari hii ina plate number ya rangi ya njano. Kwa maana hiyo siitumii kwa kufanya biashara yoyote ni yangu tu ya kifamilia. Naomba kuuliza je, gari kama hii inahitaji kulipia LATRA? Naomba msaada wenu.
  20. Mtemi Eno

    JamiiForums Tanzania "zilipotokea na zinapokwenda" pana utofauti ?

    Mfano una daftari la kurekodi stock inavyoingia kutoka stoo au ukinunua, na pia unarekodi stock ikitoka aidha kwa kuwauzia wateja ama kuibiwa. ni sawa kuandika "zilipotokea na zinapokwenda" ama kuna maneno yapi yanaweza kuwa mbdala mzuri
Back
Top Bottom