Msaada: Mtoto kupoteza uwezo wa kuongea

Vangigula

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
814
2,543
Natumai nyote mko vyema. Moja kwa moja kwenye mada, nina mtoto wa kiume ambaye mwezi wa sita mwaka huu ametimiza miaka miwili. Stages nyingine zote kama kukaa, kutambaa, kutembea, kuanza kuota meno etc. alizipitia kwa wakati. Akiwa na around mwaka mpaka mwaka na nusu alikuwa anaweza kusema mom, dady na kutaja vitu vichache. Lakini ghafla alipoteza uwezo wa kuongea. Kwa sasa anatoa tu sauti zisizo na mpangilio wowote wa lugha. Ninaomba kwa yeyote mwenye uzoefu, anayefahamu tatizo na tiba, anayemfahamu daktari au anayeweza kusaidia kwa namna moja ama nyingine, asaidie. Kwa nyumbani anaishi na kaka yake wa miaka 5, ambae anaongea vizuri tu. Tumemuanzisha pia daycare ili achangamane na watoto wenzake, amefanikiwa tu kuchangamka na kuongeza interaction, lakini suala la kuongea bado limekuwa changamoto. Msaada tafadhali
 
Wako angalau.. Wangu next mwez wa 9 anatimiza 3yrs. Haongei kabisa. Nshampelema had hosp wakakata kile kilimi cha chini ya ulimi, lkn wapi. Anaongea maneno yasiyoeleweka.. Kusikia anasikia, ukimwita anakuja, katuni akisikia inaimba sebulen na tupo chumban anakurupuka anaenda sebulen. Means anasikia... Kuongea sasa..hasemi hata mma, mama au lolote.

Akitaka maji anakuletea kikombe.. Chooni anavua nguo then anakushika mkono, km kuchangamana apa home na kaa na watoto wawili wengine, achilia mbali majiran.. Ingawa huwa hachezi na wenzie.. Yy anacheza peke yake, na pembeniii.. Au anakaa ndani
 
Pole sa

Pole sana ndugu. Mungu amfanyie wepesi. Tuungane kuwaomba waja humu ndani, huwenda kuna walio na suluhisho.
 
Natumai nyote mko vyema. Moja kwa moja kwenye mada, nina mtoto wa kiume ambaye mwezi wa sita mwaka huu ametimiza miaka miwili. Stages nyingine zote kama kukaa, kutambaa, kutembea, kuanza kuota meno etc. alizipitia kwa wakati. Akiwa na around mwaka mpaka mwaka na nusu alikuwa anaweza kusema mom, dady na kutaja vitu vichache. Lakini ghafla alipoteza uwezo wa kuongea. Kwa sasa anatoa tu sauti zisizo na mpangilio wowote wa lugha. Ninaomba kwa yeyote mwenye uzoefu, anayefahamu tatizo na tiba, anayemfahamu daktari au anayeweza kusaidia kwa namna moja ama nyingine, asaidie. Kwa nyumbani anaishi na kaka yake wa miaka 5, ambae anaongea vizuri tu. Tumemuanzisha pia daycare ili achangamane na watoto wenzake, amefanikiwa tu kuchangamka na kuongeza interaction, lakini suala la kuongea bado limekuwa changamoto. Msaada tafadhali
Pole sana, usisahau wazee ni muhimu sana au Kwa mwamposa sio kawaida hilo jambo
 
Hyo ni Kati ya childhood disorders!!
Nadhan mpeleke kwa watu wa Saikolojia watawambia nn Cha kufanya
Angalia hyo no 134...kama vle inaendana na sifa za mwanao
Screenshot_20230807-133639.jpg
 
Wako angalau.. Wangu next mwez wa 9 anatimiza 3yrs. Haongei kabisa. Nshampelema had hosp wakakata kile kilimi cha chini ya ulimi, lkn wapi. Anaongea maneno yasiyoeleweka.. Kusikia anasikia, ukimwita anakuja, katuni akisikia inaimba sebulen na tupo chumban anakurupuka anaenda sebulen. Means anasikia... Kuongea sasa..hasemi hata mma, mama au lolote.

Akitaka maji anakuletea kikombe.. Chooni anavua nguo then anakushika mkono, km kuchangamana apa home na kaa na watoto wawili wengine, achilia mbali majiran.. Ingawa huwa hachezi na wenzie.. Yy anacheza peke yake, na pembeniii.. Au anakaa ndani
Huyu wako ni tofauti
Kumbuka wa mleta maada alikuwa anaeongea then akaanza kupoteza uwezo wa kuongea!
 
Hyo ni Kati ya childhood disorders!!
Nadhan mpeleke kwa watu wa Saikolojia watawambia nn Cha kufanya
Angalia hyo no 134...kama vle inaendana na sifa za mwanao View attachment 2710964
Picha ikishindikana kufunguka..maelezo haya hapa chini
*Childhood disintegrative
disorder is characterized by apparently normal development through at
least the first 2 years of life. During this time, age-appropriate skills such as
verbal and nonverbal communication, social relationships, bowel and
bladder control, and play all develop normally. The disease manifests itself
as a clinically significant loss of previously acquired skills before the age of
10. In Rett disorder, the onset of the disease occurs earlier, usually 6 months
after birth, and there are characteristic hand stereotypies that do not occur
in childhood disintegrative disorder. The presence of the apparently nor
mal development of speech and other behaviors, followed by the loss of
these, distinguishes this disorder from autism, Asperger disorder, and per
vasive developmental disorder, where there is no loss of previously
acquired skills*
 
Ndio maana tunauliza kama kuna lolote wazazi tunaweza fanya kumsaidia mtoto. Kama Mungu ameamua kutupatia bubu, atakuwa amejua tuna nguvu ya kumlea, na wallah tutamlea.
Kama ameanza kuongea vitu havieleweki manake anaanza kujitafuta, ataanza kuongea maneno taratibu. Imagine 3.5yrs mtoto hata kusema baba anapata shida, ila walau.
 
Wako angalau.. Wangu next mwez wa 9 anatimiza 3yrs. Haongei kabisa. Nshampelema had hosp wakakata kile kilimi cha chini ya ulimi, lkn wapi. Anaongea maneno yasiyoeleweka.. Kusikia anasikia, ukimwita anakuja, katuni akisikia inaimba sebulen na tupo chumban anakurupuka anaenda sebulen. Means anasikia... Kuongea sasa..hasemi hata mma, mama au lolote.

Akitaka maji anakuletea kikombe.. Chooni anavua nguo then anakushika mkono, km kuchangamana apa home na kaa na watoto wawili wengine, achilia mbali majiran.. Ingawa huwa hachezi na wenzie.. Yy anacheza peke yake, na pembeniii.. Au anakaa ndani
Pole sana
 
Back
Top Bottom