Msaada Kesi yangu ya Ajira Utumishi wa Umma

Kambale1

New Member
Jul 9, 2023
4
7
Habari,

Naomba ushauri kwenye jambo hili ambalo nahisi kuonewa.

Nilikua mtumishi wa umma kwa miaka nane. Nimemtumikia mwajiri wangu kwa miaka nane. Mwaka jana nilipata changamoto nikawa na kesi ya Misconduct, kesi ilichukua muda mrefu kiasi mbaka napewa barua ya uamuzi kuna baadhi ya kanuni za utumishi hazijafuatwa.

Kamati ya nidhamu ilikaa lakini sikupewa mwenendo wala update yoyote takriban miezi mitatu. Nikapewa barua kusoma barua ni ya termination, ikabidi niombe mwenendo wa nidhamu.

Kwenye mwenendo wa kamati ya nidhamu waliamua demotion and salary reduced.Lakini mkurugenzi kaamua termination hajafuata kamati ya nidhamu ilikaa tukahojiana.

Je, alichofanya mkurugenzi ni sawa kisheria?

Kulikua na haja ya kuunda kamati ya nidhamu kama alikua na maamuzi yake binafsi? Kanuni za utumishi wa umma hazijafuatwa,nilikua suspended bila charge sheet,muda wa kutoa maamuzi baada ya kamati ya nidhamu kukaa ulipita siku 30.

Naomba msaada naweza kwenda kulalamika wapi nipo giant na sitaki haki yangu ipotee,kuna uwezeka naweza kuomba kuonana na katibu utumishi.
 
Pole. Kwenye barua si wameandika kuwa una siku 45 za kukata rufaa na wameelekeza uiwasilishe wapi Rufaa yako. Soma vizuri utaona

Ikiwa hawajaandika, basi ni hivi, kama ni mtumishi wa idara ya elimu (yaani mwalimu) basi Rufaa utakata kwenye tume ya walimu (ngazi ya Taifa), muda ni siku 45 toka ulipopokea barua

Kama ni mtumishi wa idara isiyo ya elimu, basi Rufaa yako utawasilisha Tume ya utumishi wa Umma (PSC) ndani ya siku 45 toka ulipopokea barua.

Mengine nifuate DM au kwa 0713368153
 
Umemaliza kila kitu Mkuu 👏👏👏
 
Naam mkuu umefafanua vizuri kabisa hope amesaidika
 
Utetezi wangu niliwasilisha,sijawahi kupewa barua ya onyo wala adhabu ya aina yoyote kwa miaka nane.
Kosa ni kushushia hadhi utumishi wa umma
Mkurugenzi akaamua kunifukuza
 
Tuma nyaraka zako hapa 0713368153 usaidiwe
 
Back
Top Bottom