Msaada wa maombi ya mkopo demographic info (HESLB)

katunzi89

Member
Feb 4, 2013
16
9
Msaada wa maombi ya mkopo wa elimu ya juu(HESLB) nilikuwa namuapplyia mkopo mdogo wangu sasa nimefika katika demograhic info nmejaza fomu vizur inalod tu ainipi murejesho naombeni msaada maana nimekwama siwezi endelea mbele.

demograhic data.JPG
 
Hilo limekuwa tatizo kwa waombaji wengi. HESLB wanapaswa kufanya jambo katika hilo. Wengi wamekwamia hapo kufanikisha maombi yao.
 
Kama Birthverification number haijaleta pale kuwa imekuwa registerd bas apo haiwez kukubali kuendelea, hakikisha Birth verification nunber ni sahihi
Birth verification number ndo ile entry number au ile ya kwenye rita reference number mfan 20230456_BV
 
Habar vipi mtandao wa bodi ya mkopo umekaa sawa au imepatikana mbinu yoyot y kutatua tatzo
 
Mimi yapata wiki sasa nimemuombea dogo verification RITA ya birth certificate lakini mpaka huu hawajinipatia majibu
 
Back
Top Bottom