msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tiba ya Vipere

    Habari wanaJF? Mtoto wangu ana umri wa mwaka mmoja na miezi 6, anasumbuliwa sana na Vipere. Nishampeleka sana hospitali, lakini dawa zote anazipewa hazimsaidii, akitumia dawa Vipere vinapotea kwa muda mfupi lakini baada ya muda mfupi vinarudi tena.
  2. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kujifunza lugha ya Kichina?

    Wapi naweza kujifunza lugha ya Kichina? Nipo Dar es Salaam
  3. 42774277

    JamiiForums Tanzania Msaada wale mliowahi kuagiza/mnaoagiza spare parts Dubai na Kenya.

    Guys nahitaji kuagiza spare parts Dubai bila kwenda Dubai. Kama kuna mtu anaweza kunipa muongozo. Kwa Dubai., 1. Wapi mnanunua spareparts hasa kwa gari za Kijerumani? 2. Mnatumia kampuni zipi za usafiri kwa njia ya maji na anga? Pia kwa Upande wa Kenya, Mnanunua spare parts wapi, na...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta! Msaada Tafadhali...

    Habari wakuu. Katika kupiga story juzi kati kijiweni ikaibuka story ya kuwa ukifanya mapenzi na mwanamke akatunia kitambaa chake kukufutia na kwenda nacho anaweza kukuloga. Ambacho anatakiwa kufanya nikuchukua kile kitambaa alichokufutia na kukiweka chini ya mtungi! Then mzigo hausimami labda...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kuna mwanamke amepanga kuniroga ili uume wangu usifanye kazi baada ya kumwambia nataka tuachane, naomba msaada nimdhibiti.

    Habari wajameni, Kwa unyenyekevu kabisa wapendwa, jokes aside please, nakuja mbele yenu kinyonge na kuomba msaada. Kuna mdada mmoja wa kimag'hati niko nae kwenye mahusiano miezi kama mitatu. Huyu manzi yuko Bomba sana yaani bonge la pisi kali na shoo anaweza sana. Tatizo lake limetokea hivi...
  6. El uno

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nakala laini(soft copy) ya kitabu kiitwacho, Practical Geography for Africa

    Wakuu nawasalimu, Mwenye nakala laini ya kitabu kiitwacho Practical Geography for Africa by John M. Pritchard anisaidie.Wenu katika elimu.
  7. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Msaada Waifu anataka kumtimua dada wa kazi, mimi sitaki

    Anamlalamikia kama ilivyo kawaida ya wamama kulalamikia karibia kila kitu. ila mimi sijaona sababu ya msingi ya kumtimua lakini najua nikimwambia si ajabu akadhani nnamtaka huyu dada
  8. PACHOTO

    JamiiForums Tanzania Ibra wa Konde gang anahitaji msaada wa haraka

    Kwenye kipindi cha xxl cha leo kilichorushwa moja kwa moja kutoka Konde gang Hq ameoneka IBRA. Ila kusema ukweli anyone kana hana furaha, nuru ipotea, na mawazo mengi yaani kwa ujumla yupo yupo tu, Kijana anaguraji msaada wa haraka kuna mazito anayapitia kwa sasa ila haiwekwi wazi tu
  9. kilamba lamba

    JamiiForums Tanzania Ukioa kwenye familia yenye wazazi wenye maadili mabovu binti yao anaweza kuwa tofauti?

    Natumai ni wazima kabisa, nina jambo moja ningependa kushauriwa hapa, naamin kuna watu wenye uzoefu na hili na kujua ufumbuzi wake kiujumla. Nakuomba usipite bila kutoa ushauri wako. Je, kuna mtu yoyote ambaye katika maamuzi ya kuoa aliamua kuoa mwanamke ambaye ilionekana kwenye familia yake...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO (Video) Raia wa Uturuki wanaojenga Reli ya SGR waendeleza mgomo, wakidai mishahara, waomba msaada kwa Rais Samia

    Baadhi ya Wafanyakazi hao katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), leo Agosti 17, 2023 wameendeleza mgomo wao wakishinikiza malipo yao kutoka kwa Mkandarasi Kampuni ya Yapi Merkezi. Sehemu ya hotuba yao inaeleza “Sisi ni Wafanyakazi tuliopo katika Mrati Awamu ya Pili (Lot 2), Kambi ya...
  11. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kukubali kazi ambayo sijui wateja

    Nataka kukubali kazi ambayo sijui wateja, nawapata wapi. Kupitia nyie naomba ushauri ni kuuza magari ya aina zote hadi umpate mtu akubali kununua gari la ml 25 au ml 200 huwa mnawapataje?? Naomba ushauri kabla sijakubaliana
  12. ndiuka

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kwa wanawake

    Wakuu kuna mwanamke anahitaji msaada wa kisheria juu ya masuala ya talaka, je ni taasisi gan ya kisheria inayotoa msaada wa kisheria kwa wanawake ambayo ipo effective. Kimsingi mume kavunja ndoa mahakamani bila mke kua na taarifa kama mume kafungua kesi ya talaka, kesi imesikilizwa upande...
  13. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye kufahamu mtandao wa Kimataifa kama JamiiForums

    Salaam! Naomba mwenye ufahamu anijuze mtandao ulio kama JamiiForums katika ngazi ya Kimataifa, usihusishe Facebook, Twitter, na Instagram. Ninapendelea forums zenye mijadala fikirishi, yaani, yenye mada zinazojenga ufahamu mzuri. Asante.
  14. Mediaty

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kujua mimi ni mtu aina gani?

    Hello! Matumaini yangu hamjambo kabisa. Naombeni kujua mimi ni mtu aina gani, (Sanguine, Introvert, sigma, alpha n.k) maana nashindwa kujitambua. Ni kijana wa miaka 24, nina sifa zifuatazi ambazo zinanifanya nishindwe kujitambua maana zinanichanganya; Ni muongeaji sana pale ninapokua na watu...
  15. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu device hii kwenye Toyota Raum

    Naomba anayejua hiki kifaa ni Nini na kinafanya Kazi Gani? Kiko kwenye Raum katikati ya siti ya dereva na abiria. Ukiwasha gari kinawaka.
  16. Chale david

    JamiiForums Tanzania Kati ya advance na chuo ipi njia nzuri zaidi?

    Kati ya kwenda hge hgk au kwenda chuo course ya bussness administration au human resource qu accountancy ipi ni bora zaid naombe msaada
  17. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Watch this: Hapa ingekua kinyume tungesikia kelele za ubaguzi

  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua gharama za mashine za kupandia mahindi na mahali zinapopatika Dar es Salaam

    Salamu, Wapendwa nahitaji kujua mashine ya kupandia mahindi zinapopatikana na gaharama yake. Nipo Dar es salamu muda huu. Nia na madhumuni yangu ni kuepuka hasara kubwa niliyoipata mawaka huu wa kilimo baada ya kupata mavuno duni sana, kutokana na mtindo wa kurusha mbegu huku nalifukuza trekta...
  19. central midfielder

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kusasisha App niliyotoa Google

    Wakuu kwema? Naombeni msaada jinsi ya ku update app ambayo nimepakua kupitia Google na sio Playstore. App kama GB Instagram. Msaada kwa anaefahamu. Forgive me
  20. Rasasem

    JamiiForums Tanzania Msaada: Shule nzuri ya sekondari ya serikali Kwa wasichana Dar

    Habari Wana jamvi, Kwa mwenye kufahamu shule ya serikali ya wasichana tu mkoa wa Dar nahitaji kumuhamishia mdogo wangu tafadhali naomba anijuze.
Back
Top Bottom