Msaada kwa anayejua dawa ya kifua

Pesanyingi

JF-Expert Member
Apr 15, 2023
396
654
Niende moja Kwa moja kwenye mada bila kuwachosha.

Ninaitaji msaada wa dawa ya kifua kubana hasa usiku na kutoa sauti kama ya filimbi kwa umbali na nikikohoa natoa kama kama vikamba kamba.

Tatizo hili limeanza ukubwani japo sina historia ya kusumbuliwa na kifua. Na tatizo hili hutokea nikivuta vumbi vumbi la ndani ya nyuma tu na siyo kitu kingine.

Nahitaji msaada mwenye kujua dawa za mitishamba. Kwa ambaye atakuwa na msaada wa dawa ila kejeli hapana.
 
Jaribu betamethasone injection

Ni ka-ampoule kadogooo lakini kana maajabu kinyama
 
Shukran Kwa mchango wako mkuu ila si itanilazimu kuitumia mara mara Kwa mara?
 
Filimbi ukiwa umelala ni dalili za njia ya hewa kuziba, hali hii inasababishwa na allergy Kama hukuzaliwa nayo. Nenda hospital ufanyiwe kipimo cha uwezo wa mapafu yako kuvuta oxygen na kuiachia.
 
Back
Top Bottom