Msaada wana JF, napata changamoto wakati wa kujisaidia haja kubwa

ProDaddy

Member
Sep 21, 2022
7
1
Miezi miwili iliyopita nilipata choo kigumu sana kiasi kwamba maumivu niliyapata ndani ya wiki baada ya hapo kila nikipata haja lazima maumivu ingawa sio Kila mara ila mara nyingi huwa hivyo, na leo nimeenda kupata choo baada ya haja kutoka na damu ikatoka. Je, tatizo litakuwa nini?.

Msaada wana JF
 
Kwenye milo yetu kuna vitu hatuvipi uzito sana. Kiasi cha maji tunayokunywa kwa siku, pamoja na kiasi cha matunda tunachokula kwa siku.

Hivyo vitu viwili vina impact kubwa sana kwenye hali unayopitia sasa.
 
Habari!

Unachopatani Constipation/choo kigumu ambacho huweza kusababisha anal fissures/kuchanika na pia haemorrhoids.

Ni vyema kuwaona wataalamu wa afya ili tiba mahsusi kulingana na hali halisi uliyonayo iweze kutolewa.

Kama alivyoeleza mchangiaji namba 2 hapo juu:

1: Suala la ulaji wa vyakula vya nyuzinyuzi/high fibbers kama: mboga za majani, ugali usiokobolewa, matunda ni muhimu.

2: Kunywa maji ya kutosha kulingana na umri vs uzito na eneo ulilipo. Mfano: wastani wa lita 2 au zaidi kwa DSM kwa mti mzima.

3: Kutokutumia mlo ambao mara nyingi unakuletea choo kigumu au kuchukua tahadhali ya kuongeza vyakula vinavyolainicha choo.
 
1. Kula matunda kabla ya kula msosi

2 Kula chakula laini si kigumu kama mtama & Ukoko wa wali

3. Kunywa maji mengi.

4. Pata mara 1 1 maziwa mtindi, juisi ya ukwaju.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye milo yetu kuna vitu hatuvipi uzito sana. Kiasi cha maji tunayokunywa kwa siku, pamoja na kiasi cha matunda tunachokula kwa siku.

Hivyo vitu viwili vina impact kubwa sana kwenye hali unayopitia sasa.
🤝
 
Habari!

Unachopatani Constipation/choo kigumu ambacho huweza kusababisha anal fissures/kuchanika na pia haemorrhoids.

Ni vyema kuwaona wataalamu wa afya ili tiba mahsusi kulingana na hali halisi uliyonayo iweze kutolewa.

Kama alivyoeleza mchangiaji namba 2 hapo juu:

1: Suala la ulaji wa vyakula vya nyuzinyuzi/high fibbers kama: mboga za majani, ugali usiokobolewa, matunda ni muhimu.

2: Kunywa maji ya kutosha kulingana na umri vs uzito na eneo ulilipo. Mfano: wastani wa lita 2 au zaidi kwa DSM kwa mti mzima.

3: Kutokutumia mlo ambao mara nyingi unakuletea choo kigumu au kuchukua tahadhali ya kuongeza vyakula vinavyolainicha choo.
Shukrani mkuu
 
Juice ya Ukwaju kwangu huwa ni tiba sana ile kitu glass 1 tu unaanza sikia majenereta tumboni.
Hahaha sure siku moja nimekuta sehemu ya baridii mitaa ya kariakoo sasa nikagida kama glass tatu hivi aisee kinyesi kilikua kilaini mithili ya uji

Yan kitendo cha kuchuchumaa tu na kuruhusu mzigo ushuke basi ni kama uji unamiminwa kutoka kwenye themos kwenda kwenye kikombe
 
Back
Top Bottom