Natumai ni wazima kabisa, nina jambo moja ningependa kushauriwa hapa, naamin kuna watu wenye uzoefu na hili na kujua ufumbuzi wake kiujumla. Nakuomba usipite bila kutoa ushauri wako.
Je, kuna mtu yoyote ambaye katika maamuzi ya kuoa aliamua kuoa mwanamke ambaye ilionekana kwenye familia yake...
Baadhi ya Wafanyakazi hao katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), leo Agosti 17, 2023 wameendeleza mgomo wao wakishinikiza malipo yao kutoka kwa Mkandarasi Kampuni ya Yapi Merkezi.
Sehemu ya hotuba yao inaeleza “Sisi ni Wafanyakazi tuliopo katika Mrati Awamu ya Pili (Lot 2), Kambi ya...
Anonymous
Thread
mgomo
mishahara
msaada
raia
rais
rais samia
reli
samia
sgr
uturuki
video
waomba
Nataka kukubali kazi ambayo sijui wateja, nawapata wapi.
Kupitia nyie naomba ushauri ni kuuza magari ya aina zote hadi umpate mtu akubali kununua gari la ml 25 au ml 200 huwa mnawapataje?? Naomba ushauri kabla sijakubaliana
Wakuu kuna mwanamke anahitaji msaada wa kisheria juu ya masuala ya talaka, je ni taasisi gan ya kisheria inayotoa msaada wa kisheria kwa wanawake ambayo ipo effective.
Kimsingi mume kavunja ndoa mahakamani bila mke kua na taarifa kama mume kafungua kesi ya talaka, kesi imesikilizwa upande...
Salaam!
Naomba mwenye ufahamu anijuze mtandao ulio kama JamiiForums katika ngazi ya Kimataifa, usihusishe Facebook, Twitter, na Instagram.
Ninapendelea forums zenye mijadala fikirishi, yaani, yenye mada zinazojenga ufahamu mzuri.
Asante.
Hello!
Matumaini yangu hamjambo kabisa.
Naombeni kujua mimi ni mtu aina gani, (Sanguine, Introvert, sigma, alpha n.k) maana nashindwa kujitambua.
Ni kijana wa miaka 24, nina sifa zifuatazi ambazo zinanifanya nishindwe kujitambua maana zinanichanganya;
Ni muongeaji sana pale ninapokua na watu...
Salamu,
Wapendwa nahitaji kujua mashine ya kupandia mahindi zinapopatikana na gaharama yake.
Nipo Dar es salamu muda huu. Nia na madhumuni yangu ni kuepuka hasara kubwa niliyoipata mawaka huu wa kilimo baada ya kupata mavuno duni sana, kutokana na mtindo wa kurusha mbegu huku nalifukuza trekta...
Wakuu kwema?
Naombeni msaada jinsi ya ku update app ambayo nimepakua kupitia Google na sio Playstore.
App kama GB Instagram.
Msaada kwa anaefahamu.
Forgive me
Wakuu kwema? Nina simu janja yangu nikiweka mfukoni mara nyingi nakuta Camera imrjiwasha yenyewe
Tatizo hili nalitatua vip maana linamaliza chaji na kuua betri haraka
Huwa nawashangaa vijana wanaopambana ili kuwapa wanawake pesa, honestly they know nothing kuhusu maisha.
Mtu ambaye anatembea na wanaume tofauti ili tu apate kula, kuvaa na kulipa kodi au bills zake then akiachwa huku akakimbilia kule.
Fahamu tu kuwa watu kama hawa akili zao zipo broke that...
Miezi miwili iliyopita nilipata choo kigumu sana kiasi kwamba maumivu niliyapata ndani ya wiki baada ya hapo kila nikipata haja lazima maumivu ingawa sio Kila mara ila mara nyingi huwa hivyo, na leo nimeenda kupata choo baada ya haja kutoka na damu ikatoka. Je, tatizo litakuwa nini?.
Msaada wana JF
Niende moja Kwa moja kwenye mada bila kuwachosha.
Ninaitaji msaada wa dawa ya kifua kubana hasa usiku na kutoa sauti kama ya filimbi kwa umbali na nikikohoa natoa kama kama vikamba kamba.
Tatizo hili limeanza ukubwani japo sina historia ya kusumbuliwa na kifua. Na tatizo hili hutokea nikivuta...
Habari wakuu!
Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, yaani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, in short yaani ni uchafu mtupu.
Kilichonisikitisha zaidi ile ni mitaa ya makazi ya watu na niliona watoto wadogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.