MSAADA: Tatizo la Camera ya simu kujiwasha ikiwa mfukoni nalitatua vip?

Sijui unatumia simu gani ila kwangu mimi na kwa wenye samsung hii ndio solution

Screenshot_20230814_121201_Settings.jpg
 
Nenda kwa fundi aitoe tu au iloweke simu masaa mawili ukishindwa nunua kufuli uifunge au nenda kwa fundi wa kuchomelea aichomelee.nakutakia mchana mwema mkuu
 
Back
Top Bottom