MSAADA TUTANI.

MSAADA TUTANI.

Habarini za leo!ninatumai mko salama.
Ninahuitaji wa fedha kiasi cha million mbili(2) za kitanzania ,ninaomba mtu yeyote atakayeguswa aniazime na nitamlipa kwa awamu .
Mungu awabariki.
Pole ila ungeandika maelezo yakutosha mfano unahitaji mil 2 lakini dhamana yangu ni nyumba au vyeti au ardhi n.k

Then ungeweka location mahala ulipo jinsia n.k ukubwa wa tatizo n.k

Unajua ukifanya hivi watu wenye pesa wataguswa na Jambo lako na kukufanyia muhamala kwa haraka ili kufix tatizo lako.
 
Bank,kausha dam,vikoba,kiwanja,kazi yako,ndungu,mke,majirani,marafiki,wazaz,mchepuko,watoto........
Huko ndo ilipo hazina yako huku jf utiatwaa tapel cos ujamention causes......
 
Pole ila ungeandika maelezo yakutosha mfano unahitaji mil 2 lakini dhamana yangu ni nyumba au vyeti au ardhi n.k

Then ungeweka location mahala ulipo jinsia n.k ukubwa wa tatizo n.k

Unajua ukifanya hivi watu wenye pesa wataguswa na Jambo lako na kukufanyia muhamala kwa haraka ili kufix tatizo lako.
kweli ndugu ,sijatoa maelezo mengi ila kama kuna atakayeguswa private message iko anaweza kuja na nikampa maelezo ya kutosha kabisa .
 
Hahaha hivi uko serious kweli eti atakaeguswa
 
Back
Top Bottom