Mtu ataweza kuiflash simu ikiwa iko kwenye secure mode?

Brown Mduma

Senior Member
Sep 29, 2020
180
283
Jana niliangusha simu yangu wakati nipo kwenye bodaboda nilichokifanya baada ya kuangusha niombe simu ya mtu na kuingia kwenye find my mobile na kui secure ambapo niliandika ujumbe mfupi wenye namba zangu zinazopatikana kwasasa ninachotaka kujua ni kwamba mtu ataweza kuiflash simu ikiwa iko kwenye secure?
 
vizuri mno mkuu, yani hapo anaifactory reset then secure mod inatoka itaomba FRP then kwisha habari yake.
 
Back
Top Bottom