Msaada kuhama chuo cha afya NACTE baada ya kuahirisha kwa Muda Mrefu

Alves124

Member
Oct 22, 2023
5
0
Habari zenu ndugu zangu wa JF

Hii ni mara yangu ya kwanza kushiriki na swali ni kama linavyojieleza hapo Niliwahi soma clinical medicine mpk Level 5 semester 1 changamoto za ada ikanilazimu nisimame nihangaike na mishe zingine nashkuru Mungu nimejipata kiasi

Sasa juzi wakati nacheki student verification NACTVET nikajaribu kuhakiki kama bado kwenye system nipo ikanionesha vilevile kua nmebakisha Semester 1 kupata certification yangu na roho ikaniuma sababu nilijitajidi sana kukwepa vimeo na matokeo yangu ya semester zote 3 ni Clean

CHANGAMOTO KUBWA NIKITAKA KUENDELEA NATAKIWA NIRUDI CHUO MWANZA NILIPOPOSTPONE JE KUNA MWENYE UELEWA NA HILI JAMBO ALIEWAHI TAKA HAMA CHUO KIMOJA KWENDA KINGINE UKIACHANA NA HII YA KULIPA 10,000 NACTE
 
Unatakiwa ukaandike barua chuoni kwako ya kurudi na kuomba kuendelea, lakini mpaka mwakani mwezi 4 siumebakiza semester 1?, kuhama itakuwa ngumu labda kama ndo ungekuwa unaingia level 5 semester 1.
 
Kwa hiyo ni ngumu kuhama ikiwa ulitakiwa kuingia level 5 semester 2 mpk uimalizie kule ulipokuepo?
 
Kuhama una hama ila kuhama katikati ya muhula hua changamoto sana mkuu.

Cha kwanza andika barua ya kurudi chuo ili wakuactivate na cha pili andika barua ya uhamisho nenda kwenye chuo unachotaka kuhamia omba nafasi wakikuruhusu watakusainia hiyo barua kisha utarudi nayo chuoni kwako nao watakusainia baada ya hapo utaipeleka Nacte wao watakuhamisha lakini itakupasa usubiri hadi mwakani ndo uendelee na masomo.

Ila zingatia ni lazima matokeo yako ya semista iliyopita yawe safi.
 
Hicho ndio kinanipa jeuri nina hati safi toka first yeae nlisimama sababu za ada tuu aiseee
 
Okay wahi muda wa kufanya uhamisho ndo huu au Mwakani April ila nakushauri anza sasa kufuatilia.
 
Back
Top Bottom