Msaada jinsi ya kupata barua ya mwaliko Canada na Ulaya

Wakuu mambo vipi? Naomba msaada wa kupata barua ya Mwaliko ya kwenda nchi za Ulaya hasa Canada, Finland au Denmark.

Namaanisha sina mtu wa kunialika ila nataka nitapate invitation. Inawezekana kupata ya Mchongo.

Nataka nifanye safari kwenye moja kati ya hizo nchi kwa visa ya muda mfupu
Canada ni North America, hebu fanya home yako kwanza, uwe well informed then go for it.
 
Fuata utalatibu tu,izo barua za michongo hata bongo
Wakuu mambo vipi? Naomba msaada wa kupata barua ya Mwaliko ya kwenda nchi za Ulaya hasa Canada, Finland au Denmark.

Namaanisha sina mtu wa kunialika ila nataka nitapate invitation. Inawezekana kupata ya Mchongo.

Nataka nifanye safari kwenye moja kati ya hizo nchi kwa visa ya muda mfupu
Zipo ila mwisho wake ni kukufilisi ivyo viela ulivyojichanga na mwishowe kuludi bongo
 
una sh ngap nikuunganishe na brother huko philadelphia?
Screenshot_20231130-224552.jpg
 
Wakuu mambo vipi? Naomba msaada wa kupata barua ya Mwaliko ya kwenda nchi za Ulaya hasa Canada, Finland au Denmark.

Namaanisha sina mtu wa kunialika ila nataka nitapate invitation. Inawezekana kupata ya Mchongo.

Nataka nifanye safari kwenye moja kati ya hizo nchi kwa visa ya muda mfupu
Mambo Vp kama Bado Hujapata Mualiko au upo kwenye process , njoo nikupe mwaliko kama unataka kwenda Canada , Uk or Spain .. njoo
 
Wakuu mambo vipi? Naomba msaada wa kupata barua ya Mwaliko ya kwenda nchi za Ulaya hasa Canada, Finland au Denmark.

Namaanisha sina mtu wa kunialika ila nataka nitapate invitation. Inawezekana kupata ya Mchongo.

Nataka nifanye safari kwenye moja kati ya hizo nchi kwa visa ya muda mfupu
Mkuu hizi nchi zote ulizotaja na hata nyinginezo unaweza kupata visa bila barua ya mwaliko.
Barua ya mwaliko maana yake unaenda kumtembelea mtu/ unaenda kwa mtu kitu ambacho huwa sishauri sana itumike hasa ikiwa lengo lako ni kujilipua.
Unaweza kusema unaenda kutembea wewe mwenyewe binafsi ambapo watataka booking confirmation ya hotel ama apartment ambayo utafikia ukiwa nchi husika.
Hapo utataja vitu kadhaa ambavyo umepanga kuviona ukifika huko na wataangalia uwezo wako wa kifedha basi.

Ikiwa karatasi zako nyingine zote zimenyooka unapata visa bila tatizo.
 
Asante Uko sawa Ila nilikuwa nakuja kuelezea na hili ila umeniwahi na upo sawa mkuu
 
Back
Top Bottom