Ni jinsi gani ya kupakua youtube playlist na kuihifadhi kwenye windows laptop

Faizan

Member
Oct 30, 2021
45
51
Wakuu popote mlipo habari zenu, wakubwa shikamooni
Katika pitapita zangu za online nimekutana na changamoto ya kushindwa kupakua playlist kutoka youtube yaani kuihifadhi kwenye laptop yangu ya windows.

Na ni kawaida yangu sikuzote nihitajipo kujua jambo fulani la kimtandao huwa naigia kwenye vyanzo mbaimbali vya maarifa vikiwemo youtube, google. Alafu ikitokea nimeshindwa basi huwa sina budi ilaa ni kuwafuata wanajamvi wenzangu. Na leo hii wanajamvi wa tech naombeni msaada kwa mwenye kujua software ama jinsi ya kupakua youtube playlist na kuihifadhi kwenye windows laptop.
 
save from net unapo play video kuna web addres inadislay kwenye upper panel (url) click hy address then kwenye www ongeza herufi "s" mwisho then enter itakupeleka kwenye option ya kudownload kwa format na quality unayotaka
 
Aise hii ni hatari sana kumbe kuna vingi sivijui
 
Back
Top Bottom