msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Wafungwa wa Gereza la Kyela washerekea Sikukuu kwa kupewa msaada na Wadau

    Taasisi ya Vanessa Foundation imetoa msaada wa hali na mali kwa wafungwa wa Gereza la Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya, wakati wa Sikukuu ya Krismasi ikiwa ni sehemu ya kusherehekea nao pamoja na kuisaidia Serikali jukumu la kuhudumia wafungwa hao. Akizungumza wakati akikabidhi msaada huo...
  2. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa AirtelTanzania pitieni hapa msaada wenu waitajika.

    AirtelTanzania Wekeni sawa kwenye app yenu ya Kyc ya usajili. Wekeni file ianze sehemu ya kuweka alama ya kidole alafu ndio idhini ya TCRA kama mitandao mingine. Au kama inaanza na uidhinishaji basi ikubali kurudia kuweka kidole kilichokataa pale tu baada ya kukituma. Maana kuna wateja...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Baada ya kama miaka mitano nchi za Afrika(Ikiwemo Tanzania) zitaanza kwenda kununua na kuomba msaada wa chakula Afghanstan.

    Sema tulivyo makauzu hata aibu hatutaona. Afghanstan kwa sehemu kubwa ni jangwa. Lakini bahati nzuri upande wa Kaskazini imepitiwa na mto mkuwa wa Amu Darya ambao inashare na nchi kadhaa. Sasa ili kuzalisha chakula utawala wa Taliban umeamua kujenga mfereji mkubwa wa umwagiliaji kutoka mto huo...
  4. Vumbi la congo

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya hii kitu (dns.adguard.com)

    Nilikuwa napata kero ya matangazo online..katika kupekuwa nimekutana na hiyo kitu nikaiweka kwenye setting kama yanavyoelekeza maelekezo naona matangazo sipati tena kwenye zile sites zote ambazo nilikuwa napata kero hiyo..je nauliza pamoja na kwamba matangazo hayaji ipi hasara ya kusett...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Fangasi zinateketeza sehemu zangu za siri kwa kasi sana

    Wakuu, Ni muda sasa kumekuwa na fangasi kwenye pumbu zangu lakini sikuchukulia serious , kila nilipofatilia naambiwa ni usafi tu , basi naongeza usafi na precaution zingine huku maisha yakiendelea. Nimeishia nayo kama miaka sita hivi. Rate ya kueneaa kwake ilikuwa ndogo tu lakini kilichonistua...
  6. Akilitime

    JamiiForums Tanzania Ninaomba msaada wa kupata Microsoft Office Kati ya 2019, 2021 au hata 2016

    Wasalaam! Wakuu na wataalamu! Ninaomba msaada wa kupata Microsoft Office Kati ya 2019, 2021 au hata 2016. Imekuwa mtihani kwangu kupata hizo version( for free) Nashukuru sana wakuu
  7. Xiang Hao

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuverify google admob akaunti

    habari wanajukwaa mimi ni blogger mchanga ninaejaribu kuziendea ndoto zangu nilifungua app siku mingi kidogo hapo nyuma sasa ni zaidi ya miezi miwili nimefikisha usd 10 ambapo kwa sheria za google natakiwa kupokea pin katika sanduku la barua lakini mimi sina naomba msaada yeyote anaeweza...
  8. NUNEZ DIAZ

    JamiiForums Tanzania Msaada wenye uzoefu na waliosoma Open university

    habari wakuu naomba kufahamu wenye uzoefu na waliosoma open university course ya procument bachelor level au inayoendana na hio changamoto ipo wapi na ugumu upo wapi
  9. H

    JamiiForums Tanzania Msaada NSSF - nahitaji kupata hela zangu

    Habarini ndugu JF. Mimi ni kijana ambaye nimemaliza mkataba kwenye shirika ambalo nilkuwa nikifanya kazi. Katika kufuatilia nilijulishwa kuwa kwa mtu mwenye elimu kama yangu "certificate" anaruhusiwa kupata pesa zake zote na sio 33.33%, Hivyo nilijaza fomu zote na kurejesha nikitarajia kwamba...
  10. Jumlisha

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Utukutu wa mtoto wa ndugu yangu unanishinda, anafanya matukio kila kukicha, nifanyaje?

    Habarini wana JF. Moja kwa moja kwenye mada kama kichwa hapo juu kinavyojieeleza. Huyu ni mtoto wa jamaa angu nimeona niandike kwaajili yake, labda tutapata msaada humu ndani maana binafsi nimeshindwa. Nina mtoto kwa sasa ana umri wa miaka kumi na nne (14) yupo kidato cha kwanza lakini kwa...
  11. Peter_John

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anae fahamu hapa shida itakua nini

    Habari Wana JF , Kuna mtoto hapa wa ndugu yangu umri wake ni miezi kama kumi hivi au zaid ila hajafikisha mwaka mmoja , ni mtoto wa kiume ila anatatizo sehemu zake za Siri muda mwingine zina sinyaa na kua ndogo ndogo yaani ndogo sana na Hadi wakati mwingine zinapotea kabisa yani huoni kitu , kwa...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania VAR haina msaada Tanzania; unazi unaanzia kwa viongozi

    Yaani nasikiliza. Tv moja ati tunaletewa VAR Hii VAR inaongozwa na wanadamu na hawa hawa ndio wengine marefa wanaofanya mambo machafu na ya kijinga Sasa shida sio var shidda inaanzia unazi wa viongozi wanaongoza michezo na.Timu.Kubwa Kutoka hapo unazi wa marefa na timuzao kubwa jkumbuke refa...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jumanne aanze Mzambia mbele ya Adui 'Why Dad' na Mkongo awe mtizama Sinema kwa Nje kwani hana Msaada na Tija

    Akianza Mzambia Adui ataangamizwa na Kujutia hata Kukutana nae.
  14. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Msaada kutumia whatsapp kwenye desktop

    Habari zenu ndugu zangu wa Jf,poleni na majukumu ya kutwa nzima. naombeni msaada ama maelekezo ni jinsi gani naweza kutumia whatsapp kwenye desktop bila kutumia emulator ya aina yoyote kama hili linawezekana.maana nimejaribu kutumia kwenye bluestacks 5 lakini inacrush kila...
  15. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa mawazo kitaalamu

    Wandugu naomba msaada wenu nifanyeje. Kuna mtu nilikuwa na mahusiano naye awali lakini nimeyakata kwa sababu binafsi kutokana na tabia yake hanidai chochote na wala sijawahi kumtegemea kwa chochote maana najiweza vizuri tu ila kiukweli yeye ndio ananitegemea zaidi. Sasa amekuwa akininyima raha...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kimawazo: Je Niendelee kusubiri au nikawatafute?

    Wakuu, Umri: 24 years Wasiwasi wangu, nahitaji msaada wa kimawazo kwenye mambo haya. Sijawahi kuwa na mpenzi hivyo sijawahi kufanya mapenzi, je nimechelewa au niko nje ya muda? Niliambiwa mtu sahihi atakuja kwa wakati sahihi, niliwahi kujaribu kutongoza nikakataliwa, je niendelee kumsubiri...
  17. dopamine-B

    JamiiForums Tanzania Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    [NOTICE] May 2024 Kumekua na upotoshaji Sana katika jamii kuhusu matibabu. Pia kuna dhana ya kwamba kuna zinaa sugu, wataalamu wanakanusha. Isipokua kuna shida kwenywe diagnosis za ugonjwa, reinfection na Pia bacteria wanakua resistant na dawa ambazo zilkua awali zinatibu na SASA hazitibu tena...
  18. Chacha Steven Mokiri

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba anayejua jina la huu wimbo anisaidie na jina la msanii!

    Kwa anayejua jina la huu wimbo anisaidie ni muhimu sana. https://www.instagram.com/reel/Czn5se0IMrm/?igshid=MTdlMjRlYjZlMQ==
  19. dubu

    JamiiForums Tanzania Musa Venerable Mziba hajapatikana. Polisi waombwa msaada

    Ndugu MUSA VENERABLE MZIBA mfanyabishara mwenye umri wa miaka 37 anaemiliki Kampuni ya Mzibaz Empire Investments Ltd amechukuliwa na watu wasiojulikana Tar: 07 Desemba mida ya Saa 2 Usiku, akiwa maeneo ya ofisini kwake Mikocheni. Familia Inaomba sana Msaada kwa Jeshi la Polisi Tanzania...
  20. luangalila

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ku download Computer Software FREE

    Watalaaam kwemaa kama kichwa cha habari kinavyo sema, Zaman mm nilikuwa mtumiaji mkubwa wa sites kama pirrate bay kwa ajili ya ku download movies na softwares mbali mbali , lkn siku izi nimekuwa nikipata shida sana kupata softwares ambazo (cracked)., naomba msaada wenu wataala kama kuna anaye...
Back
Top Bottom