Naomba mwongozo, nataka kuchimba bwawa kwa ajili ya mifugo na kilimo Bagamoyo

Kwanza ktk shamba lako kuna upande ambao unakama mlalo au bonde? mimi ningalikushauri ukodishe machine mfano Dozer au Beckhoe zitakusaidia kuchimba na kuweka kingo vyema za bwawa lako. last week nilikuwa kidomole kwa mfugaji mwenzangu jirani nilikuta wanafanya hivyo kwaajili ya kupata maji kwaajili ya mifugo. Barikiwa sana.
 
Wadau,

Naoimba muongozo, nataka kuchimba bwawa kaajiri ya mifugo na kilimo cha umwagiliaji katika shamba lililoko bagamoyo. Muongozo wa jinsi ya kufanya hili na kama naweza pata mdau anafanya kazi hii.
Kuna mambo kadhaa.
1. Site survey ambapo engineer anakuja site kuhakiki na akipata site atacheki ukubwa na gharama zake atakupa.
2. Gharama zitakupa mwongozo uchimbaje.
3. Hiyo survey huwa ina gharama zake na ndio mwongozo wenyewe.

Kwa msaada zaidi 0714600575
 
Back
Top Bottom