Msaada kwa tatizo la afya ya ubongo

Mtu fulani

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
654
975
Amani iwe kwenu,

Nina ndugu yangu amepatwa na tatizo la kuweweseka, kuona vitu visivyo na uhalisia (hallucinations). Kuna muda anakakamaa mwili hadi inapelekea kuanguka kama mgonjwa wa kifafa.

Tafadhali mwenye kujua sababu na aidha matibabu yake anaweza kushare hapa. Tatizo limemuanza juzi usiku tar 20/9/2023.
 
Ana umri gani, anafanya shughuli gani yamkini kapata ajali kichwa kimepata misukosuko?
 
34yrs, ujasiriamali kuhusu kuumia kichwani hapana Wala Hana rekodi ya ajali past 10yrs
Pole sana, japo bado naomba tusaidie jinsia yake ni Me/Ke?

Je family history hakuna hilo tatizo kwao kama siyo je hajatendwa kwenye mahusiona, au kufiwa na mpendwa wake, kama yote yako hapana muulize anajisikiaje kichwani kama haumwi kichwa basi pelekea madaktari ikiwa nako wakasema hamna kitu itakuwa kapigwa kitu cha majini!
 
Kama ni wa kiume anzeni na kuchunguza kama aliwahi kuvuta bangi, kama hapana basi rudini kwenye lifestyle yake pengine ana overstress inayopelekea deperssion ambayo ni rahisi mtu kuwehuka.
 
Bangi Haina uhusiano na kukakamaa hata uvute miaka buku!!
 
Amani iwe kwenu,

Nina ndugu yangu amepatwa na tatizo la kuweweseka, kuona vitu visivyo na uhalisia (hallucinations). Kuna muda anakakamaa mwili hadi inapelekea kuanguka kama mgonjwa wa kifafa.

Tafadhali mwenye kujua sababu na aidha matibabu yake anaweza kushare hapa. Tatizo limemuanza juzi usiku tar 20/9/2023.
Sukari kupanda sana au kushuka sana huweza kusababisha tatizo hilo. Jaribuni kufanya blood glucose monitoring. Vilevile nendeni hospital kwa kitendo cha afya ya akili kama ikigundulika hakuna tatizo basi jaribuni kugeukia upande wa pili inaweza kuwa kanisani, msikitini au kwa waganga wa kienyeji.

Ila wasiwasi wangu huyo bwans kwa umri wa 34 ana sukari ya kurushiwa.
 
Naungana na ww kama ni mnywaji wa pombe hasa pombe kali basi Sukari hushuka sana
 
Back
Top Bottom