Kutoa msaada ni njia mojawapo ya kujionesha ili upate ushawishi wa kumtapeli mpokeaji

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,556
2,996
MSAADA ni kiasi au idadi ya kitu ambacho kinatolewa kwenda mtu fulani ambaye huonekana kuwa anauhitaji wa hicho kitu hivyo msaada kwa maana ya haraka kuwa ni njia ya kujionesha kuwa unatoa fungu fulani ili kupata ushawishi kwa lengo au watu fulani mara nyingi tumezoea kuona wanasiasa wakitoa msaada kwa lengo la kisiasa ambalo ni kupata public attention.

Mfanyabiashara hutoa msaada kwa lengo la kutangaza au kutambulisha bidhaa yake kwa jamii, mashule, hospitali n.k ni baaddhi ya ofisi za kibiashara ambazo hutoa msaada wa aina yake ili kupata interest hili linatokea kwa sababu human being always is selfish hivyo unapopewa msaada kumbuka kuwa unashawishiwa/tongozwa hiovyo unawza kuwa mwepesi hapo baadae kwa mtoaji wa sadaka.

Serikali zetu hupokea misaada kutoka kwa nchi mbalimbali inayoambana na masharti kukaongezewa na msamiati mkubwa wa neno nafuu ili kupunguza hali ya neno unyonywaji ila bado tunaendelea kusema kuwa misaada yote ni njia ya ushawishi ili kuweza kutuumiza kwa njia ya kipekee hivyo nawakumbusha upigaji upo sehemu nyingi sio dini bali hata kwenye misaada tunayopokea kutoka kwa wenzetu.

#NAWASILISHA#
 
Back
Top Bottom