Msaada kwa anaejua mwenye uzoefu na maswali ya Tutorial Assistant - ECONOMICS

jastertz

JF-Expert Member
Jul 4, 2020
392
743
Habari wana JF,

Leo nimeamka nimekuta nipo shortlisted kwenda kwenye interview ya Chuo fulani, ndani ya week mbili zijazo ila sijawahi kufanya interview ya upande wa Economics.

Naombeni mnisaidie huwa wanabase kwenye vitu gani hasa, ili nijichimbie huko. Kuna uzi humu wa tutorial assistant nimeutafuta sijauona.

Nikipata maswali mawili matatu itapendeza zaidi.

asanteni.l
 
hongera ChugaBoy, unaenda tafuna watoto wa chuo soon
Kiufupi Wewe jua kutumia projekta Jinsi ya kuwasha n mamna y kuandaa notes, jaribu kufwatlia slide moja inatakiwa iwe na maneno mangapi? Tafuta topic zako kama mbili kuhusu uchumi zi maste kweli kweli maana utazi wasilisha mbele ya judges wa usaili, Kisha wao watakuuliza maswal ya kada yako ambayo huwezi ukayawazia Wewe ama kuyajua,Kama wa ni mchumi jitahid kuwa na uelewa mkubw kwenye nyanja kuu za uchumi hapo utatoboa NB CONFIDENCE IS A KEY, vaa simple lakin kama mkufunzi
 
shukrani sana.. me nimesoma statistics
 
Habari wana JF,

Leo nimeamka nimekuta nipo shortlisted kwenda kwenye interview ya Chuo fulani, ndani ya week mbili zijazo ila sijawahi kufanya interview ya upande wa Economics.

Naombeni mnisaidie huwa wanabase kwenye vitu gani hasa, ili nijichimbie huko. Kuna uzi humu wa tutorial assistant nimeutafuta sijauona.

Nikipata maswali mawili matatu itapendeza zaidi.

asanteni.l
How Russian-Ukrein war affect the entire economy of the world?
 
Habari wana JF,

Leo nimeamka nimekuta nipo shortlisted kwenda kwenye interview ya Chuo fulani, ndani ya week mbili zijazo ila sijawahi kufanya interview ya upande wa Economics.

Naombeni mnisaidie huwa wanabase kwenye vitu gani hasa, ili nijichimbie huko. Kuna uzi humu wa tutorial assistant nimeutafuta sijauona.

Nikipata maswali mawili matatu itapendeza zaidi.

asanteni.l
Soma mambo ya Economics
 
Back
Top Bottom