MSAADA: Mchanganuo wa gharama za chakula kwa vifaranga 1000 vya kuku wa mayai mpaka kufikia kutaga

Habar wadau
Nahitaji kujua ni kiasi gani cha hela nitatumia kama gharama za kuwalea na kuwatunza vifaranga 1000 wa kuku wa mayai mpaka kufikia hatua ya kutaga mayai.
Mkuu habari yako... ! Kwanza tambua kuwa Tanzania kuna kampuni nyingi sana za kuzalisha vifaranga na kuzalisha vyakula vya kuku, na kila sehemu asilimia kubwa wanakuwa na vyakula vyao na hivo kutofautiana katika Bei

Kwa maana hiyo huwezi kupata majibu ya uhakika humu kwa sababu utakutana na mtu yuko Iringa, mwingine Mwanza na ata Kigoma hivo huwezi kupata majibu ya uhakika kwa sababu kila mmoja atakuwa na Bei tofauti ya chakula

Unapaswa kufanya nini?

Unapaswa kuuliza maswali kwa kampuni ambayo itakuuzia au uliyopanga kununua vifaranga kwao, wao watakupa mchanganuo mzima wa gharama za chakula kwa hao vifaranga mpaka wanafikia kutaga

Na mara nyingi kampuni za kuzalisha kuku pia waga zinazalisha chakula, na Kama hiyo haitoshi watakupa graph ya ulaji wa hao kuku kuringana na umri wao, kupitia hiyo chart unaweza ata kupiga hesabu mwenyewe

Ukipata chart ya ulaji,tafuta chakula Bora kulingana na uzoefu wa wafugaji walio katika eneo lako kisha utajua bei ya chakula,ukijua bei ya chakula na unajua idadi ya vifaranga na unajua wanakula kiasi gani accordingly to Age basi ushapata majibu

Japokuwa hayatakuwa majibu ya 100% correct ila utapata picha halisi ya kile unachotaka kwenda kukifanya na utafanya estimation kama utaweza kumudu hizo gharama au lah
 
Asante san kwa msaada wako mkuu ila suala la upatikanaji wa vifaranga ipo machine ya kutotolea mayai ni mim t kutafuta mayai ya kutotoleshea ndio maana nikatak nijue gharama za kuwalea hao vifanga nisije kutotolesha vifaranga wingi nikashkndwa kuwalea shida yangu ni kujua gharama za chakula chanjo na dawa tu
 
Mayai ya kutotoresha kuku wa mayai utayapata wapi ndugu yangu, usije kuwa unaongelea kuku machotara ndio unawaita wa mayai

Anyway hapo bado ni ngumu kukadiria kwa sababu kuku wa mayai huanza kutaga wakiwa na miezi 4½-5 ila kwa nilivokuelewa utakuwa unaongelea machotara ambao huanza kutaga miezi 5-6

Let's say utakuwa na hao kuku chotara ambao assume wataanza kutaga wakiwa na miez 5, kuku mmoja kwa makadirio hadi aanze kutaga atakuwa amekula wastani wa 3.5kg, assume hakuna kuku aliekufa kwahiyo hesabu itakuwa constant kuku 1000

3.5*1000=3500
1bag ya chakula ina 50kg
3500÷50= 70
Starter watakula 30bags
Grower watakula 20bags
Layer mash watakula 20bags

Starter 1bag= 80000*35=2,800,000
Grower 1bag=72000*20=1,440,000
Layer mash 1bag=62000*20=1,240,000
Totally 5480000/Chakula

Kumbuka hizi ni estimation endapo utalisha chakula cha special mwanzo wa vifaranga hadi kuanza kutaga, kwakuwa ni estimation basi haziwezi zikawa gharama halisi, ila utapata mwanga

Chanjo ambazo ni common
Newcastle 6000*3= 18000
Gumboro 8000*3= 24000
Ndui 13000*1= 13000
Totally= 55,000

Upande wa Dawa huwezi kujua gharama utakazotumia, kwa sababu dawa hutumika pale ambapo kuna ugonjwa, na kila ugonjwa una dawa yake na kila dawa ina bei yake, so huwezi kujua wala kuhisi gharama za madawa

Msaada wangu umeishia hapo kulingana na uelewa wangu
 
Shukran san ndug nimepat mwanga na wap pakuanzia ubarikiwe
 
Habar wadau
Nahitaji kujua ni kiasi gani cha hela nitatumia kama gharama za kuwalea na kuwatunza vifaranga 1000 wa kuku wa mayai mpaka kufikia hatua ya kutaga mayai.
kitambo sana, kwa sasa gharama zimepanda sana ila kwa makadirio inaweza fika million 10. kwa kuku 100 ilikuwa around laki 8 hadi 9 hadi Million, vyakula vimepanda sana now day hivyo kuku 1000 tenga kama million 10 kwa kila kitu za kuwahudumia hadi watage.

Cost za zinapigiwa kwenye vyakula kwa sababu ni karibia asilimia 80 ya gharama zote, Chanjo, na madawa ni sehemu ndogo sana.
 
Asant mwez wa 2 nategemea kuanzisha mradi wng wa kuku wa mayai natak nianze na kuku 1000
 
Mayai ya kutotoresha kuku wa mayai utayapata wapi ndugu yangu, usije kuwa unaongelea kuku machotara ndio unawaita wa mayai

Anyway hapo bado ni ngumu kukadiria kwa sababu kuku wa mayai huanza kutaga wakiwa na miezi 4½-5 ila kwa nilivokuelewa utakuwa unaongelea machotara ambao huanza kutaga miezi 5-6

Let's say utakuwa na hao kuku chotara ambao assume wataanza kutaga wakiwa na miez 5, kuku mmoja kwa makadirio hadi aanze kutaga atakuwa amekula wastani wa 3.5kg, assume hakuna kuku aliekufa kwahiyo hesabu itakuwa constant kuku 1000

3.5*1000=3500
1bag ya chakula ina 50kg
3500÷50= 70
Starter watakula 30bags
Grower watakula 20bags
Layer mash watakula 20bags

Starter 1bag= 80000*35=2,800,000
Grower 1bag=72000*20=1,440,000
Layer mash 1bag=62000*20=1,240,000
Totally 5480000/Chakula

Kumbuka hizi ni estimation endapo utalisha chakula cha special mwanzo wa vifaranga hadi kuanza kutaga, kwakuwa ni estimation basi haziwezi zikawa gharama halisi, ila utapata mwanga

Chanjo ambazo ni common
Newcastle 6000*3= 18000
Gumboro 8000*3= 24000
Ndui 13000*1= 13000
Totally= 55,000

Upande wa Dawa huwezi kujua gharama utakazotumia, kwa sababu dawa hutumika pale ambapo kuna ugonjwa, na kila ugonjwa una dawa yake na kila dawa ina bei yake, so huwezi kujua wala kuhisi gharama za madawa

Msaada wangu umeishia hapo kulingana na uelewa wangu
! .

.

...
 
Z, z
kitambo sana, kwa sasa gharama zimepanda sana ila kwa makadirio inaweza fika million 10. kwa kuku 100 ilikuwa around laki 8 hadi 9 hadi Million, vyakula vimepanda sana now day hivyo kuku 1000 tenga kama million 10 kwa kila kitu za kuwahudumia hadi watage.

Cost za zinapigiwa kwenye vyakula kwa sababu ni karibia asilimia 80 ya gharama zote, Chanjo, na madawa ni sehemu ndogo sana.
 
Habar wadau
Nahitaji kujua ni kiasi gani cha hela nitatumia kama gharama za kuwalea na kuwatunza vifaranga 1000 wa kuku wa mayai mpaka kufikia hatua ya kutaga mayai.
Kifaranga kimoja kinatumia tshs 13,500 mpaka tshs 15,000 mpaka kuanza kutaga. Kwa iyo apo inakula tshs 14,000 mpaka kuanza kutaga
 
Ila ni lazima ununue vifaranga toka kwa makampuni yanayozalisha vifaranga kwa ajili ya mayai (layers). Hiyo ya kununua mayai ukatotoleshe utapigwa za uso hadi ukae chini mapema sana. Kumbuka kwa huku Mbeya gharama kwa kuku 1000 si chini ya 10M mpaka waanze kutaga na kuchanganya vizuri, huyo aliyesema 14 M anaweza kuwa sahihi kabisa.
NB: Usijaribu kununua mayai ukatotolesha, hawa layers wa kutoka kwa makampuni wanataga kweli kweli wakipata chakula na matunzo mazuri, Hao wa kutotolesha alafu kuku 1000 unatafuta lawama na mwenyezi Mungu tu, hao tunafuga 100 au 200 kuwakeep house wife zetu busy tu wapate hela za VICOBA.
 
Shukran mkuu nipo hatua za mwisho kuandaa mazingir na bajet ya kutosha nitaleta mrejesho hapa.

Sawa mkuu, kiufupi wana faida wakiwa wengi hivyo, kuna wakati mwenza wangu alikuwa nao kuku 1400 wanaotaga, kwa siku alikuwa anakusanya mayai trei 36 hadi 37. yaani kasalary kangu nakasotea mwezi mzima lakini nilikuwa sigusi kwake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom