Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

Sal dee

Member
Jan 12, 2024
15
21
Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume..

Niligundua hili tangu mwaka 2023 baada ya kushindwa kusex Kwani uume ulisimana ila nataka kuingiza tu nikamwaga na uume ukanywea Kabisaa ndio nikajua kama Sina nguvu za kiume baada ya kuuliza na kuambiwa baadhi ya dalili za ukosefu wa nguvu za kiume ambazo dalili hizo ninazo lakini sikuwa najua nazo ni uume hasimami nikiamka asubuhi..

Pia mchana Yaani naweza kukaa siku nzimaa bila uume kusimama hata nikienda kujisaidia haja kubwa au ndogo unalala tu..

Uume unasinyaa muda wote korodani nazo zimelegeaa pia Kuna muda ndani yo korodani kunajaa mashipamishipa...

Nlipitia masturbation lakini now nimeacha naombeni msaada wenu ndugu zangu nifanye nini ili niweze kukaa sawa maana nateseka sana
 
Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume..

Nligundua hili tangu mwaka 2023 baada ya kushindwa kusex Kwani uume ulisimana ila nataka kuingiza tu nikamwaga na uume ukanywea Kabisaa ndo nikajua kama Sina nguvu za kiume baada ya kuuliza na kuambiwa baadhi ya dalili za ukosefu wa nguvu za kiume ambazo dalili hizo ninazo lakin sikuwa najua nazo ni uume hasimami nikiamka asubuhi..

Pia mchana Yan naweza kukaa siku nzimaa bila uume kisimana hata nikienda kujisaidia haja kubwa au ndogo unalala tu..

Uume unasinyaa mda wote korodani nazo zmelegeaa pia Kuna mda ndani yo korodani kunajaa mashipamishipa...

Nlipitia masturbation lakin now nmeacha naomben msaada wenu ndugu zangu nifanye nin Ili niweze kukaa sawa maana nateseka sana

Punguza wasi wasi, nguvu unazo,

Ukikaa muda mrefu bila kusex hiyo hali inatokea, na inapotokea wewe relax kijana atasimama kwa mara nyingine.

Alafu pemba saba kusex utazoea ligi, usisahau kutumia tangawizi kabla ya mechi inasaidia sana.

Chukua tagawizi, kwenyw bender alafu kunywa taratibu maji yake.

Au fanya iwe chai yao ya kila siku. weka kwenye blender baadae chemsha maji na umix na tanagawizi uliosanga kwenye blender.

Wewe nguvu unazo sema umekaa muda mrefu hujasex kwaiyo presha tu ndo ilikuangusha.
 
Ila amesema hata asubuhi akiamka haisimami, akijisaidia pia haisimami. Huoni kuwa hizo ni dalili za shida?
 
Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume..

Nligundua hili tangu mwaka 2023 baada ya kushindwa kusex Kwani uume ulisimana ila nataka kuingiza tu nikamwaga na uume ukanywea Kabisaa ndo nikajua kama Sina nguvu za kiume baada ya kuuliza na kuambiwa baadhi ya dalili za ukosefu wa nguvu za kiume ambazo dalili hizo ninazo lakin sikuwa najua nazo ni uume hasimami nikiamka asubuhi..

Pia mchana Yan naweza kukaa siku nzimaa bila uume kisimana hata nikienda kujisaidia haja kubwa au ndogo unalala tu..

Uume unasinyaa mda wote korodani nazo zmelegeaa pia Kuna mda ndani yo korodani kunajaa mashipamishipa...

Nlipitia masturbation lakin now nmeacha naomben msaada wenu ndugu zangu nifanye nin Ili niweze kukaa sawa maana nateseka sana
Pole Mkuu kwa sababu ya wewe kupiga punyeto kipindi cha nyuma umeharibu mishipa yako ya nguvu za kiume ndio maana hata ukiamka asubuhi uume wako hausimami unapo kojoa mkojo wa asubuhi nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako uguwa pole.
 
Punguza wasiwasi mkuu. Mawazo Yako yanalikuza tatizo kuliko uhalisia ulivyo.

Ila ukiona mambo yamekuwa magumu, mcheki Herbalist Dr MziziMkavu
 
Pole Mkuu kwa sababu ya wewe kupiga punyeto kipindi cha nyuma umeharibu mishipa yako ya nguvu za kiume ndio maana hata ukiamka asubuhi uume wako hausimami unapo kojoa mkojo wa asubuhi nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako uguwa pole.
Sawa kiongozi nitakuchek jioni Kwa maana saiv npo kibaruani
 
Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume..

Nligundua hili tangu mwaka 2023 baada ya kushindwa kusex Kwani uume ulisimana ila nataka kuingiza tu nikamwaga na uume ukanywea Kabisaa ndo nikajua kama Sina nguvu za kiume baada ya kuuliza na kuambiwa baadhi ya dalili za ukosefu wa nguvu za kiume ambazo dalili hizo ninazo lakin sikuwa najua nazo ni uume hasimami nikiamka asubuhi..

Pia mchana Yan naweza kukaa siku nzimaa bila uume kisimana hata nikienda kujisaidia haja kubwa au ndogo unalala tu..

Uume unasinyaa mda wote korodani nazo zmelegeaa pia Kuna mda ndani yo korodani kunajaa mashipamishipa...

Nlipitia masturbation lakin now nmeacha naomben msaada wenu ndugu zangu nifanye nin Ili niweze kukaa sawa maana nateseka sana
Daah pole sana hata mimi napitia changamoto kama yako kiukweli inapoteza sana hali ya kujiamini
 
Back
Top Bottom