Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa trilioni 152 Ukraine, Trilioni 35 Israel, Trilioni 22 Palestina, Trilioni 12 Taiwan

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
$60 billion Ukraine
$14 billion for Israel
$9 billion Gaza + West bank
$4.83 billion Taiwan
---
Senate gives $60 billion for Ukraine, $14 billion for Israel, $9 billion in humanitarian assistance for Gaza and nearly $5 billion for the Indo-Pacific.

Meanwhile Biden is putting veterans behind Non citizens for healthcare, using resources for them.
 
Wamarekani katika situation kama hizi huwa wanatoa msaada au wanatoa pesa za kununulia silaha kwa hayo maeneo I mean Ukraine and Taiwan ?

Mfano Taiwan ana hitaji msaada gani toka U.S Taiwan sio masikini kabisa na si kwamba haijiwezi hata kidogo

Taiwan ina uwezo unaowiana na Singapore, Qatar kiuchumi sio poor ni rich in everything
 
ma

Marekani kweli ana hela hizo? mbona anadaiwa na china nasikia
 
Sasa kila anayepewa pesa au kukopeshwa unadhani ni maskini kama Tanzania pengine wanafanya majaribio yao sasa wanahitaji utaalam na msaada kutoka USA ndio maana yakatoka hayo maela kwanza ni mapesa mengi sana usa haijawahi kutupa sisi msaada au mkopo wa mara moja kwa kiwango hivyo hapo juu..

Inamaanisha hizo nchi zinajiweza sana
 
ma

Marekani kweli ana hela hizo? mbona anadaiwa na china nasikia
Aliyekuambia ya kwamba nchi ikiwa inadaiwa ndio inakosa bajeti ni nani?

Kumbuka wenzetu Sio kama wabongo yaani mtu akikukopa laki moja na akianza kukuona unanenepa,unakula na kuvaa vizuri na huna stress ni anamaind na kuanza kukudai hela yake kwa fujo sana,
Wenzetu kitu kilicho ndani ya bajeti na matumizi ya muhimu hua hawahesabu
Na hua hawachukui inahesabika hauna kitu mpaka upate akiba yaani imagine wadeni wa bongo wanachukuliwa hadi masufuria!
😁😁
 
Wamarekani katika situation kama hizi huwa wanatoa msaada au wanatoa pesa za kununulia silaha kwa hayo maeneo I mean Ukraine and Taiwan ?

Mfano Taiwan ana hitaji msaada gani toka U.S Taiwan sio masikini kabisa na si kwamba haijiwezi hata kidogo

Taiwan ina uwezo unaowiana na Singapore, Qatar kiuchumi sio poor ni rich in everything
Marekani iliwahi saidia Urusi, China, Japan, South Korea, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Israel, etc.

Taiwan inahitaji msaada wa Marekani, na huwa inaomba kabisa.
 
Marekani waliwakopesha warusi silaha na deni nafikiri limekwisha lipwa, China walishirikiana na US kumtandika Japan China lengo lake kumtoa Japan China na US kumshinda Japan baada ya uchokozi wake U.S, naye German ilikuwa ni silaha na mikopo.

Kuhusu Taiwan ni mauziano ya silaha katika mtindo huo unao onekana wa kimsaada au msaada usio na mahusiano hayo ?
 
Issue ya Korea kusini nayo ilikuwa ya kimaslahi zaidi ya kipebari na ukomunisti na ndio maana NK ilikuwa na backup ya China
 
Marekani utafikiri wanafyatua pesa kwa kutumia Press Machine na kisha kugawa, hata waarabu wanaosemwa kwamba wana hela lakini ni bahiri kama mpare huwezi kuona hela yake.

NB: Hakuna nchi isiyo na deni duniani kila nchi inadaiwa ila viwango ndio tofauti.
 
Lend lease kwa Soviet Union ilikuwa ni msaada. Marekani ilitoa ndege za kivita zaidi ya 10,000 na vifaru zaidi ya 6,000 pamoja na mambo mengine kwa Urusi na haikuwa loan

Lend or lease. Marekani alikuwa anaweza kuchukua kitu chochote cha kutumia kwenye vita ile dhidi ya Nazi Germany ila sababu Urusi haikuwa na lolote la hadhi ya kuchukuliwa na Marekani, na Marekani ilijitosheleza ndio maana Urusi ikapokea tu kama Burundi inavyopokea misaada. Baadae mkataba ni wa kukodisha na kukodi, aya umekodisha ndege bure na umeziharibu au zimeharibiwa na adui, zilipe. Ndio hapo nchi zikailipa Marekani tena kwa riba ndogo sana, kwa msamaha wa deni na kwa kupewa miaka hata 40. Tabia za superpower hizo.

Taiwan ina privilege ya kuuziwa baadhi ya silaha za Marekani zisizowekwa open market. Sio kila mwenye hela anaenda US kumwaga mabilioni kununua silaha, kwa miaka kadhaa US iliblock Turkey kununua F-16 mpya mpaka mwaka huu, vilevile Turkey ilikataliwa kuuziwa Patriot ikaenda kununua S-400, Turkey hiyohiyo ilitolewa kwenye mradi wa F-35 ikarudishiwa hela. US hawauzi silaha kwa njaa.

Pia Taiwan inapewa misaada kama training ngumu ambazo sio kila nchi inapewa, na zina gharama kubwa. Inahesabika in monetary terms.
 
Wamarekani katika situation kama hizi huwa wanatoa msaada au wanatoa pesa za kununulia silaha kwa hayo maeneo I mean Ukraine and Taiwan ?

Mfano Taiwan ana hitaji msaada gani toka U.S Taiwan sio masikini kabisa na si kwamba haijiwezi hata kidogo

Taiwan ina uwezo unaowiana na Singapore, Qatar kiuchumi sio poor ni rich in everything
Naniii, Mbona Urusi ni Tajili ila inapokea Pesa za Ukimwi(USAIDS) toka Us?.
Ama ni wivu tu( in Mkono wa Baunsa voice?). joke.
 
Issue ya Korea kusini nayo ilikuwa ya kimaslahi zaidi ya kipebari na ukomunisti na ndio maana NK ilikuwa na backup ya China
Lakini ni msaada, haijalishi nakusaidia nikiwa na maslahi na wewe au sina ila bado ni msaada.
Maslahi ya kibepari kwa mfano South Korea ingekuwa Communist ikafa njaa kama North Korea hao Marekani wangepungukiwa nini.

Ile Marekani inaingia vitani kuwasaidia South Korea, tiyari North Korea majeshi yake yashateka mji mkuu Seoul na yanamiliki eneo kubwa la South
 
$60 billion Ukraine
$14 billion for Israel
$9 billion Gaza + West bank
$4.83 billion Taiwan
---
Senate gives $60 billion for Ukraine, $14 billion for Israel, $9 billion in humanitarian assistance for Gaza and nearly $5 billion for the Indo-Pacific.

Meanwhile Biden is putting veterans behind Non citizens for healthcare, using resources for them.
Huzi hela nadhani USA huo anaziprint tu .kwa kuwa zinahitajika na zikifika huo zina thamani
 
Lakini ni msaada, haijalishi nakusaidia nikiwa na maslahi na wewe au sina ila bado ni msaada.
Maslahi ya kibepari kwa mfano South Korea ingekuwa Communist ikafa njaa kama North Korea hao Marekani wangepungukiwa nini.

Ile Marekani inaingia vitani kuwasaidia South Korea, tiyari North Korea majeshi yake yashateka mji mkuu Seoul na yanamiliki eneo kubwa la South
NK sidhani kama ile chance ya kufika Seoul kama watakakuja kuipata tena Kim amebaki kulialia kila siku kuhusu NK kuungana na S. Korea.

Ila Park naye alikuwa na mawazo ya kuja kuivamia NK aiunganishe na SK na Park alikuwa General kabla ya mapinduzi ubaya aliuawa kabla hiyo plan yake haija fanikiwa na sidhani kama US au China wange ruhusu hilo
 
Marekani utafikiri wanafyatua pesa kwa kutumia Press Machine na kisha kugawa, hata waarabu wanaosemwa kwamba wana hela lakini ni bahiri kama mpare huwezi kuona hela yake.

NB: Hakuna nchi isiyo na deni duniani kila nchi inadaiwa ila viwango ndio tofauti.
Brother hiyo misaada anayotoa USA sio pesa cash mkononi bali ni misaada ya silaha, chakula, madawa n.k yenye thamani ya hizo pesa.
 
$60 billion Ukraine
$14 billion for Israel
$9 billion Gaza + West bank
$4.83 billion Taiwan
---
Senate gives $60 billion for Ukraine, $14 billion for Israel, $9 billion in humanitarian assistance for Gaza and nearly $5 billion for the Indo-Pacific.

Meanwhile Biden is putting veterans behind Non citizens for healthcare, using resources for them.
Wanaponiacha hoi hawa jamaa ni pale wanatoa misaada worldwide huku wakiwa na raia wao homeless wengi tu
 
$60 billion Ukraine
$14 billion for Israel
$9 billion Gaza + West bank
$4.83 billion Taiwan
---
Senate gives $60 billion for Ukraine, $14 billion for Israel, $9 billion in humanitarian assistance for Gaza and nearly $5 billion for the Indo-Pacific.

Meanwhile Biden is putting veterans behind Non citizens for healthcare, using resources for them.
Ubeberu ulaaniwe .....🙄🙄
 
Back
Top Bottom