Msaada kwa mtu aliyeunguzwa na mafuta ya dawa za nywele

SuperHb

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
897
697
-Habari za majukumu?
Kuna mtu anahitaji msaada wa nini cha kufanya

-Alipaka Dawa ZA kuweka waves kwenye nywele(Movit relaxer), Kwa Bahati mbaya kuna maeneo ya kichwa chalet ni kama yameungua.

Kila Muda anatokwa na majimaji kichwani na kupelekea vidonda kama anaoza Hivi, anapata maumivu ya kichwa..

-Afanyeje ili apone Hali iliyomtokea?

MSAADA WENU TAFADHALI

IMG_20240214_184950_332.jpg
 
With time atapona...asifanye chochote

Siku nyingine asikae na dawa muda mrefu kichwani ama atumie dawa za box kama mega nk
 
Ile kaungua tu angepaka mafuta ya mgando yoyote ila kwa sasa asilowanishe kichwa vidonda vipone
 
With time atapona...asifanye chochote

Siku nyingine asikae na dawa muda mrefu kichwani ama atumie dawa za box kama mega nk
Sasa Hivi anatokwa na usaha,,,japo maumivu yanapungua
 
Back
Top Bottom